Ajira ambazo zipo wazi hadi sasa Duniani kwa watoto wetu

sikuhizi watoto wengi wanacheza ndani, tablets na smartphones ndyo vyombo vya michezo yao...... Kutwa wanacheza games na kuangalia katuni
 
Namba (01) nilimkataza mwanangu, now ana miaka 17,nashukuru anapenda mpira hasa, na shule anasoma form 4
 
Lazima ujute sana.
Nipo kwenye udaktari kwa sasa😂😂 mpira ndio kazi rahisi kwangu na ndio kitu rahisi kwangu anayo yafanya KI AZIZ Mimi niliyafanya Sanaa..

Nilitabiliwa makubwa Sana na ingekuchukua sekunde kadhaa kugundua kipaji Cha kipekee alicho kuweka mungu kwenye mguu wangu wa kushoto mpira ukiwa mguuni kwangu...

Ndio ivyo sisi tumecheza mpira enzi za FAT (TANZANIA FOOTBALL FAIRULE)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…