DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi
Ajira kwa Vijana Ajira ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya Mtu Binafsi, Jamii na Taifa kwa ujumla. Ajira humfanya mtu awe na ari ya kutosha, kuwajibika na kushiriki kikamilifu katika nyanja zote za Kijamii na Kiuchumi.
Kwa mujibu wa Utafiti wa Nguvu Kazi, 2021 (ILFS, 2021), Tanzania, ilikuwa na nguvu kazi ya Watu wapatao 25,861,023, kati ya nguvu kazi hiyo, Vijana ni 14,219,191 sawa na 55.6%.
Vijana ni rasilimaliwatu na chachu ya mabadiliko ya Kijamii, Kiuchumi na Kiteknolojia
Vijana katika nchi yoyote Duniani ni rasilimaliwatu muhimu kwa maendeleo na chachu ya mabadiliko ya Kijamii, Kiuchumi na Kiteknolojia
Vilevile, ni rasilimali inayochangia maendeleo ya Taifa na ni mtaji uliokusanywa wakati wa ujana balehe
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 (SWM 2022), Tanzania Bara ina Watu 59,851,347, kati ya hao, Vijana ni 20,612,566 sawa na 34.4%, ambapo Wanaume ni 9,827,426 (16.4%) na Wanawake ni 10,785,140 (18.0%), ambapo Vijana 12,312,403 wanaishi Vijijini na 8,300,163 wanaishi Mijini.
Chanzo: SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA YA MWAKA 2007 (TOLEO LA MWAKA 2024)