Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Mkuu kwema???Huna tofauti na zinjathroupas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwema???Huna tofauti na zinjathroupas
Kwema kabisa ndugu leta habariMkuu kwema???
Hakuna jipya mkuuKwema kabisa ndugu leta habari
Basi amani na itawaleHakuna jipya mkuu
Maafisa wa idara hiyo wapo kila kona, na amini usiamini, maafisa wengi wanachukuliwa mikoani kuliko jijini Dar !Swali la msingi, katika watu mil 50 watakuonaje wewe ambaye uko sumbawanga vijijini!!?
Zamani walichukua shuleni. Umbwe,Tosa,Mzumbe,Tabora boys,Kibaha,Tanga school, Weruweru,msalato,kilakala.Maafisa wa idara hiyo wapo kila kona, na amini usiamini, maafisa wengi wanachukuliwa mikoani kuliko jijini Dar !
CIA&FBI wanaingia wapi kwa iyo trailerPia ifahamike kuwa kazi hii ina vitengo vingi pia, mfano:-
# majasusi- hawa kazi yao kuu ni kufuatilia mambo au watu kwa ukaribu sana iwapo wametiliwa shaka, wanaweza kujiweka karibu na washukiwa ( participatory observation) na kuishi nao na kuchukua taarifa zao zote na kuzituma kwa commanding manager ambaye naye huzifikisha kwa wakuu wa kitengo kwa upembuzi zaidi.
# makachero- hawa Mara nyingi huwa ni wadhibiti wakuu wa hali yoyote inayoweza kusababisha au kuathiri usalama wa nchi au taasisi mhimu za nchi, hufuatilia nyendo za washukiwa na iwapo wakijilidhisha pasi na shaka ( with no doubt) ndipo huchukua maamuzi magumu ikiwemo hata kuua ( yes, they've license to kill when the arena is alarming) mfano gaidi aliyepanga kushambulia Eneo X humalizwa papo hapo kabla hajatekeleza plan Y, Mara nyingi makachero huchukuliwa toka jeshini ( komandoo), police special forces, magereza ( prisons special task forces) na hufundishwa mbinu za kiupelelezi kisha kuanza kazi za usalama wa taifa ( tiss)
Itaendelea.......( ilikuwa trailer)
CIA = MAJASUSICIA&FBI wanaingia wapi kwa iyo trailer
Kwa maelezo yako napata kumbe FBI ni zaidi ya CIACIA = MAJASUSI
FBI= MAKACHERO
NB: inawezekana wakafanya joint task forces kulingana na malengo ya mission na uzito wake.
Yes! CIA wana operate kimataifa zaidi hasa kutafuta maslahi ya marekani lakini FBI wanapambana kufa kupona kwenye upelelezi na kufanya blocking of threat au counter threat tasks within the USAKwa maelezo yako napata kumbe FBI ni zaidi ya CIA
Marekani ana Agencies almost 17 zinazojulikana zote zipo chini ya boss wa DNI Director of national intelligence hizo CIA na FBI ni famous Agencies tu ila ni portion ndani ya Intelligence Community IC, Kwa pamoja wana duties zao independent na Kuna Joint operations ila kwa ambayo iko independent sana na Boss wao huripoti direct kwa Rais basi ni CIA ambayo ina deal na overseas intelligenceYes! CIA wana operate kimataifa zaidi hasa kutafuta maslahi ya marekani lakini FBI wanapambana kufa kupona kwenye upelelezi na kufanya blocking of threat au counter threat tasks within the USA
Absolutely trueMarekani ana Agencies almost 17 zinazojulikana zote zipo chini ya boss wa DNI Director of national intelligence hizo CIA na FBI ni famous Agencies tu ila ni portion ndani ya Intelligence Community IC, Kwa pamoja wana duties zao independent na Kuna Joint operations ila kwa ambayo iko independent sana na Boss wao huripoti direct kwa Rais basi ni CIA ambayo ina deal na overseas intelligence
Kichaka viipi naona nyuzi zote za usalama umezifufua kwa mpigo kuna heri aisee?Kazi zingine aisee mmmhh