chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Hivyo tusivyoungana ndivyo vinavyoleta shida pande zoteKatika muungano nadhani kuna vitu ambavyo vipo katika masuala ya Muungano na ambavyo havipo na si kila kitu tumeungana hivyo basi hakuna haja ya kila kitu tuwe sawa.
Ndio swala msingi mambo ya kuzingatia ukabila kwa kigezo cha utaifa hakipoAjira kugawanywa bara na visiwani nafikiri sana kuwa ingefaa ajira zipatikane kupitia taratibu za ushindani, bila kujali mtu anatoka wapi, iwe kwa taasisi za umma, serikali ya JMT, iwe kwa ajira kwenye vyombo vya usalama.
Ni nini kimepelekea kubadili mfumo wa ajira? Kama watu wa upande mmoja utakosa sifa kwa watu wa upande huo, watalazimisha kuajirawa tu? Hali hiyo naona kuzidi kutengeneza 'gap' la muungano!