Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Mheshimiwa rais Mama Samia Suluhu Hassan ni mtu mstaarabu, mpole, mwenye upendo, huruma, mwenye maono, mtaratibu, muelewa, mzalendo, mnyenyekevu, mwenye busara, mwenye hekma, mpenda watu wake na Mcha Mungu.Asifikie hatua ya jiwe!
Hawezi kuwa katili kamwe. Sisi Watanzania tunamuombea kila Leo atufikishe kwenye nchi ya ahadi.
Na ili afanye hivyo basi Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.