na bado! ndo kwanza maji yamezidi unga badala ya ugali inabidi tupike uji kwa maana hiyo mboga tunarudisha kwa jokofu na tukumbuke matumizi ya sukari yatatakiwa na tukitumia vibaya asubuhi kesho hatuna chai! je twaweza kusitirika kwa uji wa chumvi mchana huu ili sukari ibaka kwa kesho asubuhi vinginevyo tukubali watoto waende na njaa asubuhi wajibebe na visheti na mikono yao itumike kukinga maji bombani ili wanywe?Sekta ya elimu na Afya sio suala la Muungano ,inakuaje ajira zigawanwe
Ninyi ndy mnaofanya wazanzibar wajione Bora zaidi ya watanganyika.Unafikiri kuitongoza Zanzibar ikubali muungano ilikuja kirahisi?
Kama unaona Zanzibar inakupunja basi wape nchi yao uone kama hawajarudisha hayo mambo waliyosacrifice kwa ajili ya muungano huu na hivyo kujitengenezea ajira za kutosha kwenye hayo mambo wao wenyewe
Nakuunga mkono,muende kwenu mkapate ajira bwerere maana sisi tunawanyonya tu au siyo,Unganeni mvunje muungano huu ili Na mama aachie ngazi ya urais,sa sijui Rais wa ZNZ atakua mwinyi au mama ama ndo tusubiri amalize muda wake ndo tuanzishe vanga?Unafikiri kuitongoza Zanzibar ikubali muungano ilikuja kirahisi?
Kama unaona Zanzibar inakupunja basi wape nchi yao uone kama hawajarudisha hayo mambo waliyosacrifice kwa ajili ya muungano huu na hivyo kujitengenezea ajira za kutosha kwenye hayo mambo wao wenyewe
Tutona mengiAjira kugawanywa bara na visiwani nafikiri sana kuwa ingefaa ajira zipatikane kupitia taratibu za ushindani, bila kujali mtu anatoka wapi, iwe kwa taasisi za umma, serikali ya JMT, iwe kwa ajira kwenye vyombo vya usalama.
Ni nini kimepelekea kubadili mfumo wa ajira? Kama watu wa upande mmoja utakosa sifa kwa watu wa upande huo, watalazimisha kuajirawa tu? Hali hiyo naona kuzidi kutengeneza 'gap' la muungano!
Nakuunga mkono,muende kwenu mkapate ajira bwerere maana sisi tunawanyonya tu au siyo,Unganeni mvunje muungano huu ili Na mama aachie ngazi ya urais,sa sijui Rais wa ZNZ atakua mwinyi au mama ama ndo tusubiri amalize muda wake ndo tuanzishe vanga?
Aje Tumpe nchi ndo panamfaaMwinyi atarudi kwao Bara
Kumbukeni hakuna jitihada za kuimarisha uchmi baada ya Covid 19Nataka haya Mambo yaongezeke Sana ili muungano wetu uimarishwe ama ufe!!
MkuuHakuna kosa kubwa ambalo tutalijutia watu wa bara kwa hii ajali ya kuruhusu Mzenji kuwa Rais wa JMT kwa wakati huu wa Sasa.
Tumeuvaa mkenge tuvumilie tu.
Natumaini wamejali ratio ya idadi ya watuAjira kugawanywa bara na visiwani nafikiri sana kuwa ingefaa ajira zipatikane kupitia taratibu za ushindani, bila kujali mtu anatoka wapi, iwe kwa taasisi za umma, serikali ya JMT, iwe kwa ajira kwenye vyombo vya usalama.
Ni nini kimepelekea kubadili mfumo wa ajira? Kama watu wa upande mmoja utakosa sifa kwa watu wa upande huo, watalazimisha kuajirawa tu? Hali hiyo naona kuzidi kutengeneza 'gap' la muungano!
Wazanzibari walipokuwa wakidai serikali tatu mlikuwa wapi?Hapa ndipo panatengeneza madai ama ya serikali tatu au moja.
Wazanzibar Wanahaki ya ajira au teuzi pande zote mbili za muungano lakini Watanzania bars ambao kiuhalisia ni watanganyika hawana haki na teuzi au ajira Zanzibar.
CCM inatukandamiza watanganyika kwa maslahi ya chama chao
Huna sababu ya kufikia hapo!Hapa tutapigana wemyewe kwa wemyewe sasa mamanke nini
Katika kila nyanja, Wazanzibari ni wako vizuri zaidi kuliko watanganyika.Ninyi ndy mnaofanya wazanzibar wajione Bora zaidi ya watanganyika.
Waambie ccm wanaowang'ang'ania
Muanzishe vanga wewe na nani?Nakuunga mkono,muende kwenu mkapate ajira bwerere maana sisi tunawanyonya tu au siyo,Unganeni mvunje muungano huu ili Na mama aachie ngazi ya urais,sa sijui Rais wa ZNZ atakua mwinyi au mama ama ndo tusubiri amalize muda wake ndo tuanzishe vanga?
Muuaji mkubwa wewe. Unapata wapi nguvu za kutetea ujinga??Rais akiwa legelege kila kitu kinalegea. Hili la muungano ni mwanzo tu udini unafuata sasa hivi. Alipaswa kwenda na speed ileile ya mwendazake yeye anataka apendwe na wabongo. Yaani ataishi hapo magogoni kwa taabu sana mwisho wake ni kungatuka kabla ya wakati na atuingize kwenye maugomvi ya madaraka tena. Kupata madaraka ni jambo moja kuyalinda na kuendelea nayo ni jambo lingine JPM hakuwa mjinga mpaka akaonekan muuwaji lakini yote ni kuonyesha ni jinsi gani madaraka yalivyo magumu kuyalinda.