Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Mheshimiwa rais Mama Samia Suluhu Hassan ni mtu mstaarabu, mpole, mwenye upendo, huruma, mwenye maono, mtaratibu, muelewa, mzalendo, mnyenyekevu, mwenye busara, mwenye hekma, mpenda watu wake na Mcha Mungu.Asifikie hatua ya jiwe!
Wewe ni Mrundi sio MtanzaniaHakuna kosa kubwa ambalo tutalijutia watu wa bara kwa hii ajali ya kuruhusu Mzenji kuwa Rais wa JMT kwa wakati huu wa Sasa.
Tumeuvaa mkenge tuvumilie tu.
Wazanzibari wanastahili so much kwa namna walivyopoteza so much kwa sababu ya Muungano huu.Mkuu
Hii system ilikuwepo kabla ya mama, toka enzi za Nyerere Hawa jamaa kupendelewa ktk ajira na umiliki wa ardhi pande zote mbili za muungano.
Sema tu hawa wajamaa wanapenda kudeka deka sana
Hakuna mtu ana muda wa kupigana. Sisi Watanzania tunamuunga mkono mama na tutampa ushirikiano katika kuijenga nchi.Hapa tutapigana wemyewe kwa wemyewe sasa mamanke nini
Wanajifanya wehu hawa. Halafu wanasema spika mwehu kumbe wehu wa kwanza ni waoWazanzibari walipokuwa wakidai serikali tatu mlikuwa wapi?
Sio sawa kwa asiekuwa Mzanzibari kufanya kazi kwenye SMZ ila ni sawa kwa Mzanzibari kufanya kazi SMT. kwa sababu hio ni serikali ya Muungano na SMZ sio serikali ya Muungano.
Haya charukeni nyie saivi kudai mamlaka kamili, sie tukisema tunaitwa magaidi.
Aisee ni kweli. Wabara tunapangiwa mambo na wazenji.Hakuna kosa kubwa ambalo tutalijutia watu wa bara kwa hii ajali ya kuruhusu Mzenji kuwa Rais wa JMT kwa wakati huu wa Sasa.
Tumeuvaa mkenge tuvumilie tu.
Mkuu,Huna sababu ya kufikia hapo!
Bila kumtaja magufuli tako lako halipumui,Wakati Chato inajengwa ulilalamika pia? Ukanda na ukabila ndiyo legacy aliyoacha Magufuli.
Sasa unafikiri kuwa Magufuli kama Rais kama alikumbatia ukabila,ukanda,undugu hadi ubaguzi wa rangi,yanapotajwa masuala haya tutaacha kumzungumzia?Bila kumtaja magufuli tako lako halipumui,
Zungumzia hoja na si magufuli.
Jambo hili lipo muda mrefu kabla ya magufuli ila sas linatumika kwa slogani ya jamhuki ya muungano hivyo tuvumikie tu au tutie ushauri na sio magufuli kama ndo alilianzisha.
Mie bado naamini muungano ni faida kwa wote ukizingatia historia zetu, lengo ni kutuweka karibu zaidi na kuchanganyika kwa kuaminiana, sasa hakuna sababu kufikiri kuwa upande mmoja umepoteza zaidi!Wazanzibari wanastahili so much kwa namna walivyopoteza so much kwa sababu ya Muungano huu.
Kila wanachopata kutoka kwenye Muungano, wanastahili sana. Tena bado wanaonewa.
Sawa mkuuMie bado naamini muungano ni faida kwa wote ukizingatia historia zetu, lengo ni kutuweka karibu zaidi na kuchanganyika kwa kuaminiana, sasa hakuna sababu kufikiri kuwa upande mmoja umepoteza zaidi!
Tujitathmini kama muungano bado unahitajika au ni kichefuchefu tu kimebakiUnafikiri kuitongoza Zanzibar ikubali muungano ilikuja kirahisi?
Kama unaona Zanzibar inakupunja basi wape nchi yao uone kama hawajarudisha hayo mambo waliyosacrifice kwa ajili ya muungano huu na hivyo kujitengenezea ajira za kutosha kwenye hayo mambo wao wenyewe
Kati yahao nusu ni watanganyika usisahau hilooWatu million 2 dhidi ya watu million 58.
Afu MGAWANYO uwe ni pasupasu[emoji848]
Ok, nakubaliana nawe!Mheshimiwa rais Mama Samia Suluhu Hassan ni mtu mstaarabu, mpole, mwenye upendo, huruma, mwenye maono, mtaratibu, muelewa, mzalendo, mnyenyekevu, mwenye busara, mwenye hekma, mpenda watu wake na Mcha Mungu.
Hawezi kuwa katili kamwe. Sisi Watanzania tunamuombea kila Leo atufikishe kwenye nchi ya ahadi.
Na ili afanye hivyo basi Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.
Ahsante mkuu. Tumuunge mkono mama!Ok, nakubaliana nawe!
Ni kweli,lkn kwa sasa huyu mzenji kuwa rais kwao ni fursa adhimu ambayo hawakuitarajia.Mambo mengi yalizikwa kimyakimya na wakawa wanaugulia kwa sababu za kuulinda muungano.Mkuu
Hii system ilikuwepo kabla ya mama, toka enzi za Nyerere Hawa jamaa kupendelewa ktk ajira na umiliki wa ardhi pande zote mbili za muungano.
Sema tu hawa wajamaa wanapenda kudeka deka sana
Huo ustaarabu wa kizenji ni upi Mkuu,ambapo bila huo ungetufanya tuhame nchi.Fafanua kidogo mkuu jinsi huo ustaarabu ulivyowaokoa Watanganyika.Muuaji mkubwa wewe. Unapata wapi nguvu za kutetea ujinga??
Yaani wabara mmeokolewa kutoka kwenye lindi la mateso na shida mnapelekwa sehemu ya furaha na raha halafu mnamidomo mirefu kama ngurunyembe.
Bila Ustaarabu wa Kizanzibari mngeihama nyote Tanzania mmoja baada ya mwengine kama alivyofanya Lissu na Lema.
Muwe na shukurani