mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Wazanzibari wengi uwezo wao mdogo kuanzia mashuleni hadi kwenye ajira, huo mgawanyo wa ajira sawa mm siuafiki maana wataajiriwa watu wasio na uwezo kisa usawa wa ajira. TumepigwaAjira kugawanywa bara na visiwani nafikiri sana kuwa ingefaa ajira zipatikane kupitia taratibu za ushindani, bila kujali mtu anatoka wapi, iwe kwa taasisi za umma, serikali ya JMT, iwe kwa ajira kwenye vyombo vya usalama.
Ni nini kimepelekea kubadili mfumo wa ajira? Kama watu wa upande mmoja utakosa sifa kwa watu wa upande huo, watalazimisha kuajirawa tu? Hali hiyo naona kuzidi kutengeneza 'gap' la muungano!
Mie binafsi naona ajira itolewe kulingana na uwezo!Wazanzibari wengi uwezo wao mdogo kuanzia mashuleni hadi kwenye ajira, huo mgawanyo wa ajira sawa mm siuafiki maana wataajiriwa watu wasio na uwezo kisa usawa wa ajira. Tumepigwa
Mapenzi kwa wote, chukia dhulma na tenda yaliyo sawa bila kubagua.Huo ustaarabu wa kizenji ni upi Mkuu,ambapo bila huo ungetufanya tuhame nchi.Fafanua kidogo mkuu jinsi huo ustaarabu ulivyowaokoa Watanganyika.
Endelea kuotaTunahitaji serikali moja. Visiwa vya unguja na pemba view mikoa. Na neno Muungano libaki kwenye kumbukumbu tu