Kiongozi, hapa nilipo kuna ninazofanya. Ila nahitaji kama mbili au Tatu.
Kwa ninazofanya inachukua muda mchach
Nipe KaziHabari Wakuu.
Kuna mchongo hapa nawalete. Nahitaji mtu Anayeweza kutumia Linkedin na Indeed a apply Virtual Jobs nchini Canada au USA.
Tukikubaliana nitakutumia CV, wewe kazi yako ni Ku draft Cover Letter, kufungua account kwenye mtandao hii miwili na Ku apply hizo kazi za Virtual based na CV nitayokupa.
Malipo tutakubaliana kabla kazi haijaanza.
Kazi ni lazima ziwe Virtual.
Kama kuna mtu yupo interested share details hapa au PM.
Nicheki DM ,Mimi natumia LinkedIn na indeed.Habari Wakuu.
Kuna mchongo hapa nawalete. Nahitaji mtu Anayeweza kutumia Linkedin na Indeed a apply Virtual Jobs nchini Canada au USA.
Tukikubaliana nitakutumia CV, wewe kazi yako ni Ku draft Cover Letter, kufungua account kwenye mtandao hii miwili na Ku apply hizo kazi za Virtual based na CV nitayokupa.
Malipo tutakubaliana kabla kazi haijaanza.
Kazi ni lazima ziwe Virtual.
Kama kuna mtu yupo interested share details hapa au PM.
Inawezekana 50% kwa pande zoteYaani unataka watu waombe hizo kazi kama mtu mwingine, halafu ufanye wewe na malipo uwe unaminyia ?