Ajira kwa Anayeweza kutumia Linkedin & Indeed

Kanye2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
2,904
Reaction score
3,006
Habari Wakuu.

Kuna mchongo hapa nawalete. Nahitaji mtu Anayeweza kutumia Linkedin na Indeed a apply Virtual Jobs nchini Canada au USA.

Tukikubaliana nitakutumia CV, wewe kazi yako ni Ku draft Cover Letter, kufungua account kwenye mtandao hii miwili na Ku apply hizo kazi za Virtual based na CV nitayokupa.

Malipo tutakubaliana kabla kazi haijaanza.

Kazi ni lazima ziwe Virtual.

Kama kuna mtu yupo interested share details hapa au PM.
 
Mtafute jamaa mmoja anayeitwa Daniel magesa kule youtube ndio kazi zake hizo. Utasaidika
 
Habari Wakuu.

Kuna mchongo hapa nawalete. Nahitaji mtu Anayeweza kutumia Linkedin na Indeed a apply Virtual Jobs nchini Canada au USA.

Tukikubaliana nitakutumia CV, wewe kazi yako ni Ku draft Cover Letter, kufungua account kwenye mtandao hii miwili na Ku apply hizo kazi za Virtual based na CV nitayokupa.

Malipo tutakubaliana kabla kazi haijaanza.

Kazi ni lazima ziwe Virtual.

Kama kuna mtu yupo interested share details hapa au PM.
Nipe Kazi
 
Nicheki DM ,Mimi natumia LinkedIn na indeed.
LinkedIn Nina profile kabisa
 
Yaani unataka watu waombe hizo kazi kama mtu mwingine, halafu ufanye wewe na malipo uwe unaminyia ?
 
Back
Top Bottom