Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri.
Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao wakituongezea zigo liitwalo retention fee.
Wanataka tuandamane?
Ila ngoja, Mungu wetu ni Mungu wa haki.
ATALIPA TENA.