Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Nafikiri hawa ni wa kutafuta wawekwe hapa tuwajue walitaka aongezewe muda wa nini.Halafu kuna makumeri walikuwa wanataka aongezewe muda..
Hapo kwenye mikataba yenye uozo ndio pa muhimu ila ndio chaka la kupigia hela! Penye uwazi patawepo maeneo yote ila sio kwa hapo kwenye mikataba hata aje malaika toka chadema au CCM wenyewe.Hapa bila katiba mpya tunapiga tu tarumbeta za bure!
Watu walikuwa wanapiga kelele hela zinaliwa watu wakabakia tu kusifu na kuabudu, Chato Inc and Suluma Gang, waliokuwa wanapata direct benefit!
Waliokuwa wanahoji wakaishia kutumiwa wasiojulikana na kupatiwa kesi za ajabu ajabu za uhujumu uchumi!
Siku zote, taasisi ikishaongozwa kwa kuficha ficha mambo lazima kuwe na uozo tu.
Kama mambo ni shwari kweli ya nini kutisha watu na kuficha taarifa badala ya kuziweka wazi ? Hizo hela si za wananchi kwann kuzificha.
Tumpe hongera Rais wetu na mama yetu Samia kwa kuanza vizuri kwa kuweka mambo wazi! Unapoweka mambo wazi ni rahisi kufahamu ni wapi penye uozo na kuparekebisha mapema.
Natamani sana mikataba yote yenye uozo iwekwe wazi! Waliohusika na matumizi haya yasiyofaa wawajibishwe pia!
Hapa ndipo tutatengeneza Tanzania yenye uwazi na imara katika rasilimali na matumizi yake kwa faidi yetu wote na si kwa kikundi cha watu fulani, au eneo fulani tu.
Wabunge wote kuanzia kale kajitu kafupi chenye kichwa kama rungu.Nafikiri hawa ni wa kutafuta wawekwe hapa tuwajue walitaka aongezewe muda wa nini.
Most of them are Chato Inc and Sukuma Gang who had direct benefit from the regime!
Ilikuwa Rotten regime under the song of Serikali ya Wanyonge, na Kweli Isingekaa ikatokea Kuongezeka Mshahara or New employement opportunies labda kufa mtu ili kuziba pengo. Daah!!! Tuliliwa Kimya Kimya Maana Media na Activitists Walinyamazishwa na Wakanyamaza. Daaah!!! Hiyo Hasara ya Mindege Ndio Funga kazi, Wakati huo huo Mh. Kigwa... nae alikuwaanafanya Mavituzi huko Maliasili na Utalii.Ripoti hazijaanza Jana ndugu
Marehemu hakusema masuala ya Noah wala gari lolote, acha upashkuna.Ndiyo maana marehemu alisema kila mwananchi anunuliwe noah yake leo ndiyo nimeelewa vizuri.