Halmashauri ya Mkalama DC, Singida watumishi wa Ajira Mpya tangu Novemba 2024, Kada ya Afya, hawajathibitishwa kazini hadi sasa ni Mwaka na miezi 5, japo wapo baadhi wamethibitishi kwenye mfumo baada ya kuomba mkopo kupitia ESS utumishi.
Je, hii almashauri hadi mtu aombe mkopo ndipo athibitishwe?