KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Ushetu hatujapata pesa za kujikimu, tukiuliza wahusika wanakuwa wakali

KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Ushetu hatujapata pesa za kujikimu, tukiuliza wahusika wanakuwa wakali

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini!

Tukienda halmashauri wanakuwa wakali, hakuna majibu ya kueleweka! Swala la hela ya kujikimu kila halmashauri inatakiwa tulipwe laki moja na elfu thelathini (130,000).

Lakini wao wanasema watatupatia Shilingi elfu themanini (80,000) tena kwa siku 3 sio kwa siku 7 which is sio sawa. Hatuna pa kuuliza tusaidieni kutupazia sauti
 
Back
Top Bottom