A Anonymous Guest Oct 25, 2026 #1 Vijana tulioajiriwa kuanzia mwezi wa 7 pamoja na kucheleweshewa fedha zetu za kujikimu, sasa tumelipwa kiasi cha tsh 350,000 tu kama posho ya kujikimu. Hatuna pa kusemea. Sijui posho ya kujikimu huwa wanaangalia nini ili kuamua kiasi cha kulipa.
Vijana tulioajiriwa kuanzia mwezi wa 7 pamoja na kucheleweshewa fedha zetu za kujikimu, sasa tumelipwa kiasi cha tsh 350,000 tu kama posho ya kujikimu. Hatuna pa kusemea. Sijui posho ya kujikimu huwa wanaangalia nini ili kuamua kiasi cha kulipa.
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 7,009 Reaction score 25,406 Oct 25, 2026 #2 Kuwa mpole kwanza upate barua ya utambulisho kazini. kuna ajira mpya Simiyu waliibua hoja ya kutolipwa fedha zao za kujikimu wakafutiwa ajira.
Kuwa mpole kwanza upate barua ya utambulisho kazini. kuna ajira mpya Simiyu waliibua hoja ya kutolipwa fedha zao za kujikimu wakafutiwa ajira.
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,818 Reaction score 8,451 Oct 25, 2026 #3 Masai wa Town said: Kuwa mpole kwanza upate barua ya utambulisho kazini. kuna ajira mpya Simiyu waliibua hoja ya kutolipwa fedha zao za kujikimu wakafutiwa ajira. Click to expand... Huo sasa ni uonezi.
Masai wa Town said: Kuwa mpole kwanza upate barua ya utambulisho kazini. kuna ajira mpya Simiyu waliibua hoja ya kutolipwa fedha zao za kujikimu wakafutiwa ajira. Click to expand... Huo sasa ni uonezi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 25, 2026 #4 Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,315 Reaction score 13,269 Oct 25, 2026 #5 Kwahiyo mna miezi minne hamjalipwa mishahara? Ufafanunuzi