KERO Ajira Mpya Kakoko, Kigoma: Hatujalipwa pesa za kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mwalimu wa Ajira mpya wa kada ya Ualimu (Sekondari), halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoa wa kigoma.

Nimeajiriwa yangu tarehe 24 April 2025 nilitakiwa kulipa kiasi cha Tshs 1,095,000/= kama malipo ya pesa ya kujikimu lakini mpaka hivi leo nimelipa kiasi cha Tshs 186,000/= kama punguzo la deni ambayo ni kama asilimia kumi na ngapi tuu, na sio Mimi tu Bali na walimu wenzangu wengi nilioajiriwa nao na walionitangulia kidogo (same intake).

Halmashauri wanadai kuwa wamepokea pesa pungufu kwaajili ya malipo ya pesa ya kujikimu wakati huohuo
1. Wenzetu wa mikoa mwingine wameshalipwa pesa zao zote.
2. Waajiriwa wa intake yetu kada ya Ualimu mkoa huuhuu wamelipwa pesa nyingi zaidi yetu.
3. Waajiriwa wa intake yetu wilaya hiihii ya Kakonko kwenye Kada nyingine kama Afya na Ustawi wa jamii wamelipwa pesa yao yote ya kujikimu.

Hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa upande wetu kiasi cha kutuchanganya kwanini Walimu tuu ndio tufanyiwe hivi.

Chonde tunaomba msaada wenu kufikisha hii kero.
 
Kwa jinsi ulivyoweka details zako hapa ni rahisi afisa utumishi/ Mkurugenzi wa Kakonko kukifahamu.
 
Lakini mkuu si nyie ndo mlitiki?
 
Mimi ni mwalimu wa Ajira mpya wa kada ya Ualimu (Sekondari), halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoa wa kigoma.

Nimeajiriwa yangu tarehe 24 April 2025 nilitakiwa kulipa kiasi cha Tshs 1,095,000/= kama malipo ya pesa ya kujikimu lakini mpaka hivi leo nimelipa kiasi cha Tshs 186,000/= kama punguzo la deni ambayo ni kama asilimia kumi na ngapi tuu, na sio Mimi tu Bali na walimu wenzangu wengi nilioajiriwa nao na walionitangulia kidogo (same intake).

Halmashauri wanadai kuwa wamepokea pesa pungufu kwaajili ya malipo ya pesa ya kujikimu wakati huohuo
1. Wenzetu wa mikoa mwingine wameshalipwa pesa zao zote.
2. Waajiriwa wa intake yetu kada ya Ualimu mkoa huuhuu wamelipwa pesa nyingi zaidi yetu.
3. Waajiriwa wa intake yetu wilaya hiihii ya Kakonko kwenye Kada nyingine kama Afya na Ustawi wa jamii wamelipwa pesa yao yote ya kujikimu.

Hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa upande wetu kiasi cha kutuchanganya kwanini Walimu tuu ndio tufanyiwe hivi.

Chonde tunaomba msaada wenu kufikisha hii kero.
Ili nishughulikie changamoto zenu mniahidi tukiitisha maandamo mtatoka barabarani?
 
Back
Top Bottom