AJIRA MPYA NA CONNECTION (MTU NA MTU WAKE)

AJIRA MPYA NA CONNECTION (MTU NA MTU WAKE)

indundidotcom

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
235
Reaction score
230
Wakati namsikiliza waziri Simbachawene akizungumzia ajira mara nasikia anatoa taarifa ya kumuunganishia ndugu yake kupata ajira.

Ni juzi ametukataza waombaji tuditafute connection!!!!
Ni juzi amedai ajira zinatoka kwa uwezo!!!
Ni juzi wasailiwa wametoka na kudai kuwa usaili unajanjajanja nyingi!!!!
Why usaili!!!!!?
WHY ASEME NO CONNECTION WAKATI ANA CONNECT KWA NDUGU ZAKE!!!?
SIwaamini tena viongozi kama hili kakiri mwenyewe
 
MIMI SIWEZI KUMLAUMU SANA KM KWELI KAFANYA HVYO MAANA HATA MIMI NINGEFANYA NNAKUBALI VP MWANANGU AKAE MTAANI WAKATI UWEZO WA KUMSIDIA NNAO
 
Basi hakupaswa kuhubiri na kukemea connection bali angekaa tu kimya
 
Hata Mm nngemsaidia mwanangu kupata kazi, ila kwenye suala la waalimu yupo sahihi, usaili ni lazima hata kama mtahiniwa asipotaka, kada kibao tuko mitaani kwann kwa waalimu ndo iwe kelele
 
Back
Top Bottom