Wakati namsikiliza waziri Simbachawene akizungumzia ajira mara nasikia anatoa taarifa ya kumuunganishia ndugu yake kupata ajira.
Ni juzi ametukataza waombaji tuditafute connection!!!!
Ni juzi amedai ajira zinatoka kwa uwezo!!!
Ni juzi wasailiwa wametoka na kudai kuwa usaili unajanjajanja nyingi!!!!
Why usaili!!!!!?
WHY ASEME NO CONNECTION WAKATI ANA CONNECT KWA NDUGU ZAKE!!!?
SIwaamini tena viongozi kama hili kakiri mwenyewe
Hata Mm nngemsaidia mwanangu kupata kazi, ila kwenye suala la waalimu yupo sahihi, usaili ni lazima hata kama mtahiniwa asipotaka, kada kibao tuko mitaani kwann kwa waalimu ndo iwe kelele