KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari,

Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC.

Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC

Naona kuna shida kubwa sana inaendelea sijui ni nini mamlaka ziingilie kati hasa Wizara ya Elimu na TAMISEMI maana sisi tumekuwa Walimu na mafunzo tumepewa tiyari na CWT wanatukata makato kila mwezi wao TSC ni nani?
 
Kwamba wao ni nani?
Wewe unadai mkataba kwa watu usio wajua kweli kijana?
 
Umeso.a
Habari,

Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC.

Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC

Naona kuna shida kubwa sana inaendelea sijui ni nini mamlaka ziingilie kati hasa Wizara ya Elimu na TAMISEMI maana sisi tumekuwa Walimu na mafunzo tumepewa tiyari na CWT wanatukata makato kila mwezi wao TSC ni nan

Habari,

Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC.

Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC

Naona kuna shida kubwa sana inaendelea sijui ni nini mamlaka ziingilie kati hasa Wizara ya Elimu na TAMISEMI maana sisi tumekuwa Walimu na mafunzo tumepewa tiyari na CWT wanatukata makato kila mwezi wao TSC ni nani?
Umesoma kozi gani? Tuanzie hapo kwanza
 
Ukweli usemwe moja ya sehemu serikali yetu imefeli ni kuwa - ajiri non teacher kuwa teacher

Ni kheri ikaanzisha hata crash program kwa vijana wa form six waliosomea masomo ya biashara ndiyo wakawe walimu kwa kuwapa hiyo mikataba

Kwanini naandika hivi

Kwanza unatakiwa kuelewa ,, mtu mpaka anasomea uhasibu au business management tayari akilini mwake ni kuwa hautaki ualimu tena hawa ndiyo kule vyuoni huwa wanawatukana kweli kweli na kuwabagua walimu tisa kumi kwa mabinti achilia mbali kudate nao hata kuwa na urafiki huwa hawataki kabisaa...


Hivyo leo hii kumpata nafasi mtu wa namna hii aende kuwa mwalimu hawezi kulete matokeo positive .. huyu anauchukulia ualimu kama stepping stone kuelekea malengo yake ya kuwa muhasibu au bussines manager anachofanya hapo ni kupata nafasi tu ya kujialiwa na serikali afu baada ya muda arudi kwenye fani yake ..


Hivyo nashauri serikali

Ichane kabisaa na hawa watu bora turudi form six wale tunaweza kupata watu sahihi lakini siyo hawa..
 
Hii imekua kero sasa kwetu walimu wa ajira mpya tuloajiriwa kama walimu lakini hatuna ualimu tsc wamegoma kabisa kutupa tsc namba na wala mikataba wamesema wao wanasubiri miongozo ya serikali akati wenzetu wengine tuloajiriwa nao wenye ualimu wameshapewa mikataba sasa kwanini na sisi tusipewe na tushapewa mafunzo ya ualimu na tunafundisha na madarasani kabisa kwakweli inatukwaza sana serikali itoe tamko tumehangaika wizara ya elimu hakuna majibu na pia wao wanasema sisi bado sio walimu mpaka tukasome PDGE na serikali ilisema itatusomesha ndani ya miaka mitano sasa si watoe io mikataba ili tuwe kamili kabisa na wakati huo tunakatwa makato na CWT kila mwezi kama wao hawatutambui kama walimu basi wasitukate uko tumechoka
 
Mkawe maafisa biashara sasa waache kuwasumbua
 
Ila mkuu ukipewa mkataba lazima uhame tu kada
 
Back
Top Bottom