tsc

FK TSC (Serbian Cyrillic: ФК ТСЦ), commonly known as TSC, is a Serbian professional football club based in Bačka Topola. Its initial founding date in 1913 as Topolyai Sport Club makes it currently the second-oldest football club in the Serbian SuperLiga, although the club dissolved in 2003 and was reformed under its current incarnation in 2005.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Kamusinga Akamatwa kwa Kudai Rushwa ya KSh300,000 Ili Kuwatafutia Walimu Ajira TSC

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imemkamata mwalimu wa shule ya Friends School Kamusinga Boys, Kaunti ya Bungoma, kwa tuhuma za kudai rushwa ya KSh300,000 kutoka kwa walimu watatu wasio na ajira, akiahidi kuwasaidia kupata kazi kupitia Tume ya Kuajiri Walimu (TSC). Mwalimu huyo...
  2. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, TSC Imesitisha Uhamisho wa Walimu wa Primary kwenda Junior Secondary?

    Waraka unaosambaa mitandaoni unadai kuwa Teachers Service Commission (TSC) imesitisha mara moja mpango wa kuwahamisha walimu waliohitimu kutoka shule za msingi kwenda Junior Secondary School (JSS). Waraka huo, wenye tarehe 8 Septemba 2026, una kichwa “Discontinuation of the Teacher Deployment...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Miezi Bila Pay!” Intern Teachers Walalamika Huku TSC Ikiahidi Kulipa Arrears May

    Intern teachers nchini wako kwa hali ngumu sana, wakipitia miezi kadhaa bila kulipwa huku Teachers Service Commission (TSC) ikiahidi sasa ku-clear malimbikizo ya mishahara mwezi wa May 2026. Despite April salaries kutoka, ukweli ni kwamba wengi wa intern teachers walilipwa mwezi mmoja tu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Kibaha tulioajiriwa 2014 tupo nyuma kwa Daraja moja, Tume ya TSC inatuambia tuwe wapole

    Mimi ni Mwalimu wa Manispaa ya Kibaha, kero yangu kubwa ni kuhusu madaraja ya ngazi ya mshahara, sisi tulioajiriwa Mwaka 2014 tupo nyuma kwa daraja moja. Mpaka sasa kwa muda tuliokaa kazini tungetakiwa tuwe tumefikisha Mwl Daraja G lakini tupo Mwl Daraja F na hii ni kwa Walimu wote Tanzania...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

    Habari, Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC. Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC Naona...
Back
Top Bottom