“Miezi Bila Pay!” Intern Teachers Walalamika Huku TSC Ikiahidi Kulipa Arrears May

“Miezi Bila Pay!” Intern Teachers Walalamika Huku TSC Ikiahidi Kulipa Arrears May

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Intern teachers nchini wako kwa hali ngumu sana, wakipitia miezi kadhaa bila kulipwa huku Teachers Service Commission (TSC) ikiahidi sasa ku-clear malimbikizo ya mishahara mwezi wa May 2026.
Despite April salaries kutoka, ukweli ni kwamba wengi wa intern teachers walilipwa mwezi mmoja tu wakiacha arrears za January na February bado pending. Hii imeacha wengi wakistruggle kulipa rent, food, na basic needs.
“Unafanya kazi fulltime lakini hauna salary ya uhakika,” ndio reality ya wengi wao.
TSC ilihire 24,000 junior school interns mapema January, lakini kutokana na budget deficit ya KSh 7.5 billion, malipo yakaanza kuchelewa. Though serikali iliingilia kati na supplementary budget ya KSh 24.2 billion, damage ilikuwa already done.
Intern teachers wanapata stipend ya KSh 20,000 (wanatake home around 18K after deductions). Kwa ground, hii pesa ni kidogo na worse ikiwa haiji on time.
Wakati huo huo, replacement teachers wako better kidogo wako on permanent terms na wanapata full benefits, tofauti kabisa na interns ambao wako kwa one year contract na uncertainty mingi.
Hali hii imezua frustration kubwa: Wengine wameenda hadi miezi 4 bila full pay
Wengi wanategemea family ama loans kusurvive
Motivation kazini imepungua
Sasa macho yote yako kwa May je, TSC watadeliver na kulipa arrears zote? Ama hii itakuwa ahadi nyingine tu?
Kwa sasa, intern teachers wanaendelea kushikilia, lakini pressure inaongezeka kila siku.
 
Back
Top Bottom