A
Habari,
Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC.
Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC
Naona kuna shida kubwa sana inaendelea sijui ni nini mamlaka ziingilie kati hasa Wizara ya Elimu na TAMISEMI maana sisi tumekuwa Walimu na mafunzo tumepewa tiyari na CWT wanatukata makato kila mwezi wao TSC ni nan
Umesoma kozi gani? Tuanzie hapo kwanzaHabari,
Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC.
Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC
Naona kuna shida kubwa sana inaendelea sijui ni nini mamlaka ziingilie kati hasa Wizara ya Elimu na TAMISEMI maana sisi tumekuwa Walimu na mafunzo tumepewa tiyari na CWT wanatukata makato kila mwezi wao TSC ni nani?
Kwanini waliwaajiri?????
Huko ni kukosa uaminifu.Ila mkuu ukipewa mkataba lazima uhame tu kada
Unadhani recartegorization ni rahisiWanajua wakikupa mkataba utawakimbia na kufanya Recartegorization