Macrochogo
Senior Member
- Dec 5, 2023
- 162
- 117
Mwambie dogo aeleweAcha Negative mentality hizi ndo zinawarudisha nyuma mwaka 2015 nilipataga ajira Taasisi kubwa na inayoheshimika kwa kupuuza mineno kama hii oooh kuna ndugu zao ooh mpaka kimemo sasa na mimi nimeshakua mwandamizi imebaki story we omba kapambane
Baadhi ya vyuo wanazo kama mimi nimesoma SUA hakinaHivi namba ya utambuzi wa cheti cha digrii inapatikanaje?
Hivi namba ya utambuzi inayitambuliwa na TCU ni ipi, maana ya kwenye cheti inagoma msaada.
Hebu andikeni Registration number zilizoko kwenye Transcript hapo wazee wataenda kuchungulia File lako la chuo kama sehemu ya vettingHivi namba ya utambuzi wa cheti cha digrii inapatikanaje?
🤣 kuchunguza file na maombi yapo 3,000Hebu andikeni Registration number zilizoko kwenye Transcript hapo wazee wataenda kuchungulia File lako la chuo kama sehemu ya vetting
Kwa Uhamiaji hapo bila connection hawatoboi, sema ukipata nafasi baada ya muda unakuwa mtu mwingine kabisa, ukiwa kwenye nafasi nzuri na mjanja.Bila connection hutoboi, .