Ajira Mpya Za Walimu Ni Kama Kesi Ya Lulu.

Ajira Mpya Za Walimu Ni Kama Kesi Ya Lulu.

hii ni message niliyokuwa nimemtumia mheshimiwa waziri na sasa haya ndio majibu,niliwaambia vijana kuweni na subira hadi sasa saa nane kasoro usiku waziri ananihakikishia kesho ajira zinatangazwa walimu mtajua vituo,kama una shaka maswali niulize kupitia 0657846028 na tembeleeni nastaboy.blogspot.com
our goverment is our excellence
 
Nurdin Stambuli
mh. waziri pole na majukumu ya kazi za utendaji wa kuhakikisha unaboresha elimu nchini,nilikuwa nauliza ajira za walimu lini zitatoka maana mh.raisi aliahidi januari ajira zingekuwa tayari ila hadi leo feb 1 serikali hamtoi majibu,pia kwanini website ya wizara ya elimu imefungwa kwa kushindwa kulipiwa naomba ulisimamie hili mbunge wangu wananchi wanalalamika sana,na ni kheri kutoa tamko lini ajira zitatoka ili walimu hawa wapya wawe na ari katika ufundishaji.
from:www.nastaboy.blogspot.com

Asante kwa taarifa.Ila hiyo message ulimtumia tarehe 1 au tarehe 11?
 
Ngoja nisubirie j5 yenyewe labda ni leo, mimi ninasimangwa indirect na mume wangu kila siku amechoka kutoa matumizi angali siingizi hata sent 5,tempo zenyewe hazipatikani utadhani mwaka dume huu hauzai.
 
Kama mtoa taarifa anasema ukweli, basi anastahili pongezi kwa kuthubutu kuchukua hatua.Ila wanasiasa hawa nimeshawachoka kwa uongo.Ngoja leo ikamilike 2tapata jibu
 
Napokea simu nyingi wengi wakiwa hawaamini na kuona ni utani ukweli ni kuwa post zinatoka leo na hivi sasa kuna press conference ya wafanyakazi wa wizara wote hadi saa nne,tuwe na subra nitawajulisha wadau na nipo pamoja katika kuwapigania walimu
 
hii meseji ni latest nimetuma jana mara nyingi napenda kuweka au kusema jambo la kuaminika,hakika walimu watajionea wenyewe post zao soon zitakuwa mtandaoni@kichasi
 
Nashukuru sana wadau nimeshafika wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi na sasa kuna mkutano wa wafanyakazi wote baaada ya hapo ni waandishi wa habari na hapo ndio post zitapotangazwa nitaendelea kuwapa feed back
 
Tunashukuru mkuu,endelea kutupa updates
 
Utekelezaji unafaa sana kuliko siasa itakuwa njema sana kama walimu watapata haki yao leo maana shule nyingi hazina waalimu hususani vijijini lkn tujiulize kwanini toka mwaka jana ni siasa tu?ELIMU inahitaji utekelezaji tukitaka mabadiliko
 
sijaelewa hiyo point....kuanzia sasa saa nane usiku. post zinatoka saa nane usiku au? Nisaidie hilo bwana @ Nurdin
 
Toa updates mi pia nko wizaran hata sioni chochote?
Nashukuru sana wadau nimeshafika wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi na sasa kuna mkutano wa wafanyakazi wote baaada ya hapo ni waandishi wa habari na hapo ndio post zitapotangazwa nitaendelea kuwapa feed back
 
Zikitoka leo ntakupa zawad hata ya vocha. Wandish wote wangekua km wewe 2ngefka mbali
 
Napokea simu nyingi wengi wakiwa hawaamini na kuona ni utani ukweli ni kuwa post zinatoka leo na hivi sasa kuna press conference ya wafanyakazi wa wizara wote hadi saa nne,tuwe na subra nitawajulisha wadau na nipo pamoja katika kuwapigania walimu

"Kuna press conference ya
wafanyakazi wa wizara wote" hapo umeniacha kdogo ndugu mwandsh.
 
Hiyo vocha bora uitme kwangu kwenye inbox yang hapa Wizaran hamna kitu tupo tupo tu.
Zikitoka leo ntakupa zawad hata ya vocha. Wandish wote wangekua km wewe 2ngefka mbali
 
hee jamani ww nurdini i guess you are not tasting our patience kwakweli,be real n seroius n dont dare joke with us yaan,we r waiting
 
Back
Top Bottom