Nurdin Stambuli
mh. waziri pole na majukumu ya kazi za utendaji wa kuhakikisha unaboresha elimu nchini,nilikuwa nauliza ajira za walimu lini zitatoka maana mh.raisi aliahidi januari ajira zingekuwa tayari ila hadi leo feb 1 serikali hamtoi majibu,pia kwanini website ya wizara ya elimu imefungwa kwa kushindwa kulipiwa naomba ulisimamie hili mbunge wangu wananchi wanalalamika sana,na ni kheri kutoa tamko lini ajira zitatoka ili walimu hawa wapya wawe na ari katika ufundishaji.
from:
www.nastaboy.blogspot.com