duuuuhhh ajira unatutesa
Duuh!! Bongo jua la utosi hadi Juma anakosa Nature!!!""
mfano itokee hali iendelee hv tu, tutaendelea kujadili hili jambo humu ndani au? I think we have to do smth
Haha........ suggest tufanye nn sasa mkuu
cjakusoma mkuu!
kupewa posho inategemeana na utaratibu wa halmashauri hvy hiyo ni kwelii kbs....mjin ndo kila kitu wanakusanya mapato mengi kupitaa maelezooo bt usiblame about itkwa nini wanaopangiwa mijini ndio wanapata posho kubwa? nini sababu ikiwa kazi ni moja...