Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Status
Not open for further replies.
Siku hizi mnaripoti halafu mnarudi nyumbani mpaka mtoke kwenye pay roll ndiyo mbaanza kazi hakuna areas siku hizi
 
45000*7,nauli *2


Me npo kigoma nlajirwa mwaka 2013 ila pesa za kujikimu ni 210000 na zpo costant nchi nzima

Siku hizi mnaripoti halafu mnarudi nyumbani mpaka mtoke kwenye pay roll ndiyo mbaanza kazi hakuna areas siku hizi

Pole na hongera kwa changamoto
Pesa za kujikimu kwa degree ni 65 kwa siku kwa aliyepangwa manispaa 45 kwa siku aliyepangwa halmashauri Mara siku 7....tofaut na hapo kuna nauli mlizotokea kwenu uwe na risiti zako
Updates za last year so hatujui mwaka huu....hayo mengine ni uongo
 
tatizo sio pesa za kujikimu tatizo majina yatatoka lini ili watu wajue kama yupo awamu ya kwanza au asubili.
 
nimeajiriwa 1april 2014 Simanjiro kwa ngazi ya bachelol tulipewa 45000 kwa siku x7. dep ilikua pungufu yet na primary walipata ndgo kabisa. Tahadhali: kuna halmashauri hawatoi pesa zote. wanatoa za sku mbli hadi NNE then inayobaki mtawadai

acha kupotosha umma, mimi ni mwalmu mzoefu kabsaa,mwaka wa 5 huu nafundsha,usitafute umaarufu kuptia ualimu
 
jumapili hii tunadanganyana maana wizara husika wangekua wametoa japo maelezo ya awali pinda mwenyewe akusema mwezi.
 
Ha ha ha ha ha kitu cha Pragmatics, pale mtu anapo-violate maxim of Relation. Unamkumbuka Dr.Keya?

Unapoviolate maxim fulani twatarajia kupata implicature,
Sasa huyo jamaa ameviolate bila kuimply chchote mkuu.

Na akimskia Dr.Keya = Carryover.
 

Jumla ya malipo yote ni sawa na boom ya siku 63.
 

Jumla ya malipo yote ni sawa na boom ya siku 63.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…