Zizi la ng'ombe
Senior Member
- Feb 24, 2015
- 103
- 14
Siku hizi mnaripoti halafu mnarudi nyumbani mpaka mtoke kwenye pay roll ndiyo mbaanza kazi hakuna areas siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
45000*7,nauli *2
niliambiwa kwa mikoa ambayo mazingira ya kufanyia kazi walimu wapya upewa kianzia maisha cha Tsh 400000 na kidogo, kwa mikoa yenye mazingira magumu ya kufanyia kazi {mikoa ya pembezoni; mtwara, lindi,ruvuma, kigoma, rukwa,katavi} kianzia maisha ni zaidi ya Tsh 600000
Me npo kigoma nlajirwa mwaka 2013 ila pesa za kujikimu ni 210000 na zpo costant nchi nzima
Siku hizi mnaripoti halafu mnarudi nyumbani mpaka mtoke kwenye pay roll ndiyo mbaanza kazi hakuna areas siku hizi
tatizo sio pesa za kujikimu tatizo majina yatatoka lini ili watu wajue kama yupo awamu ya kwanza au asubili.
Me npo kigoma nlajirwa mwaka 2013 ila pesa za kujikimu ni 210000 na zpo costant nchi nzima
Walimu mna shida kwahiyo mtu hujaariwa lkn ushaanza kupigia hesabu hela ya kujikimu? Ila kuna kazi zingine dah!
nimeajiriwa 1april 2014 Simanjiro kwa ngazi ya bachelol tulipewa 45000 kwa siku x7. dep ilikua pungufu yet na primary walipata ndgo kabisa. Tahadhali: kuna halmashauri hawatoi pesa zote. wanatoa za sku mbli hadi NNE then inayobaki mtawadai
Majina yatatoka lini wadau
Ha ha ha ha ha kitu cha Pragmatics, pale mtu anapo-violate maxim of Relation. Unamkumbuka Dr.Keya?
Jumapili kuwa mvumilivu mwalimu si unajua fedha za kusaidia budget zilikuwa zimezuiliwa
unapoviolate maxim fulani twatarajia kupata implicature,
sasa huyo jamaa ameviolate bila kuimply chchote mkuu.
Na akimsikia dr.keya = carryover.
acha kupotosha umma, mimi ni mwalmu mzoefu kabsaa,mwaka wa 5 huu nafundsha,usitafute umaarufu kuptia ualimu
Ivi wana JF vipi kiasi cha pesa ya kujikimu anayotakiwa kupewa mwalimu mpya wa ngazi ya Degree anaporipot kazini ni kiasi gani, na mahesabu yakoje hadi kupata jumla ya kiasi hicho??? Ni muhimu kujuzana ili kuepuka kuchakachuliwa hela zetu.....msaada tafadhari!

jumapili hii tunadanganyana maana wizara husika wangekua wametoa japo maelezo ya awali pinda mwenyewe akusema mwezi.