Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Status
Not open for further replies.
jiji na manispaa ni 65000 kwa siku, wanalipa siku saba, hii ni kwa shahada, miji wanalipa 45000 kwa siku saba
Halmashauri wanapewa 35000 kwa siku saba. pia sta shahada wanapewa kidogo kuliko shahada, shule za msingi wanapewa kidogo zaidi ya diploma. nauli wanalipa kulingana na anuani uliyo andika wakati unajaza fomu za ajirachuoni, wanalinganisha na tiketi yako pia.
Hii ni kwa mwaka jana sijui mwaka huu sirikali imejipanga vipi.
 
Do dexis ya keya....ajira bado mnawaza posho...mbona hamjadili kuhusu matumizi ya teacning aids mbalimbali au ndo pesa mbele kama tai.......tehteheh.....ajiraaa weeeeeeee
 
Do dexis ya keya....ajira bado mnawaza posho...mbona hamjadili kuhusu matumizi ya teacning aids mbalimbali au ndo pesa mbele kama tai.......tehteheh.....ajiraaa weeeeeeee

Tume flout maxim of manner
 

Hakuna hicho kitu kaka kuanzia ajira ya mwaka 2013 adi mwakajana, mm niliajiliwa mwaka 2013 wilaya ya kiteto na nina degree malipo yalikua ni 320000 na deploma na cheti210000 na wale waliopaniwa kwenye majiji na manispaa ndo walilipwa laki4.
 
Mi bado naskliziaa.....j2,,,to j3....{15-16 March}
Ndo siku zenyewee
Bado siku moja tu....
 
Nani aliyekuambia au unadanganya wenzako tu..... Waalimu vuten subira ajira zitatoka mwezi wa nne kuripot wa tano

Kaka sisi tulilipwa 320000ajira ya mwaka 2013 so subilin kitakachotamkwa sahau kuusu lakitana na sita namm ninaekwambia ivyo nna degree
 
Do dexis ya keya....ajira bado mnawaza posho...mbona hamjadili kuhusu matumizi ya teacning aids mbalimbali au ndo pesa mbele kama tai.......tehteheh.....ajiraaa weeeeeeee

Duuh... kumbe wadau wa Dr Keya tulokua UDSM tupo wengi humuu
Hahahahahahh.......
LL317 ,,,A very Unique Linguistic course ever...
 
Me npo kigoma nlajirwa mwaka 2013 ila pesa za kujikimu ni 210000 na zpo costant nchi nzima

Zinatofautiana kulingana na kiwango cha elimu na eneo mf. Almashauli, manispaa na majiji ela ni tofauti iyo laki mbili na kumi2013 ilikua kwangaz ya cheti na deploma na degree tuliokua kwenye almashauli tulipewa 320000 na waliokua kwenyemanispaa na majiji walipewa lakinne nakitu
 
chamsingi tumuombe mungu watoe mwezi uu ili tuone kama majina yetu yapo au la maana atujui hatma zetu na wapi twaenda
 
umu jf kila mtu mwanahabari tu cha msingi tusubiri wahusika tusidanganyane tusio na uhakika wa habari wadau
 
Kwa degree posho ya kujikimu 65000 x 7 then unapewa na nauli nauli (tunza tiketi)
...... Tunza tiketi.

Yapo maeneo kama manispaa za dsm posho ni 100000 x 7 na nauli pia....


HIZO ZINGINE MBWEMBWE na zinatolewa na wasioelewa


NB. nadeclare interest kuwa mimi ni HR so i know....


Kuhusu posho ya mazingira serikali bado kigugumizi ila ilipendekezwa bungeni

regards
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…