jiji na manispaa ni 65000 kwa siku, wanalipa siku saba, hii ni kwa shahada, miji wanalipa 45000 kwa siku saba
Halmashauri wanapewa 35000 kwa siku saba. pia sta shahada wanapewa kidogo kuliko shahada, shule za msingi wanapewa kidogo zaidi ya diploma. nauli wanalipa kulingana na anuani uliyo andika wakati unajaza fomu za ajirachuoni, wanalinganisha na tiketi yako pia.
Hii ni kwa mwaka jana sijui mwaka huu sirikali imejipanga vipi.