Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,310
- 8,213
Huwezi kupata hizo kazi kama huna connection vingine nikuviangalia kwa macho tu.kwahyo tunaoaplai ni kaz bure?
Huwezi kupata hizo kazi kama huna connection vingine nikuviangalia kwa macho tu.kwahyo tunaoaplai ni kaz bure?
Sisi wenye milion 2 tunampa nani, mwenye nacho ataongezewa milele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi namtafutia wife hizi kazi.. hiyo milioni mbili nampa nani? Nataka apate kazi hapa Dar
Intelijensia huwa iko off upande huu, yanatendeka wako kimya kama wako CanadaTISS
TAKUKURU
wanatizama tu?
Mfufue arudi kuja kuzuia rushwa.Rushwa nje nje siku hizi hawana cha kuogopa. Kwa jpm mtu ulikuwa ukimpa hela hata ndogo tu ya soda. Anaikataa. Kwa sasa unalazimishwa kutoa
Kafie mbeleMfufue arudi kuja kuzuia rushwa.
Mfumo gani huo?Kwa nn wasitumie mfumo wa kipindi Cha JK.
Oyaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi namtafutia wife hizi kazi.. hiyo milioni mbili nampa nani? Nataka apate kazi hapa Dar
Hujasomea Ualimu,wewe ni mboga saba,acha wanaume watafute maishaNitoe 2m kwa kazi ya ualimu!!?
labda mtu aniroge, kwanini hiyo pesa mtu asijianzishie biashara tu apige pesa zaidi hata ya ualimu
Biashara is not for everyoneNitoe 2m kwa kazi ya ualimu!!?
labda mtu aniroge, kwanini hiyo pesa mtu asijianzishie biashara tu apige pesa zaidi hata ya ualimu
Bob! I am seriousPeleka pale Lumumba kariakoo
Mkuu nakuaminia, ukipata connection ya wamapoitoa hiyo hela unishtue.. nipo tayar kutoa 2M kwa wife apate hii kaziHiyo 2m wanatoa wap
Wanasubiri wapelekewe taarifa zaidi ya hii?
Mfungulie salon ya kike utanishukuru baadaeMkuu nakuaminia, ukipata connection ya wamapoitoa hiyo hela unishtue.. nipo tayar kutoa 2M kwa wife apate hii kazi
Kusanya ushahidi uupeleke TAKUKURUJf
Kwa sasa kama huna connection hizi ajira mpya za walimu utazisikia hewani tu
Watu wamekuwa wazi kabisa, toa milion mbili upate kazi
Hii haikubaliki, watanzania wamejazana online kuapply kumbe wengine wamepeleka application mkononi
Viongozi wanaohusika na hili je hawaoni rushwa hii ya waziwazi?
Je hao viongozi nao niwanufaika au?
hamna conn wakat huu wa ssh wwHuwezi kupata hizo kazi kama huna connection vingine nikuviangalia kwa macho tu.