21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Hii rushwa ipo aisee
Kuna rafiki yangu mzee wake kauza shamba kabisa ili apate ya kuhonga
Kuna rafiki yangu mzee wake kauza shamba kabisa ili apate ya kuhonga
Acha ujinga wewe fanya Application tulia lasivyo UTATAPELIWA NA WASIO HUSIKA SHAME ON YOUKwa sasa kama huna connection hizi ajira mpya za walimu utazisikia hewani tu
Watu wamekuwa wazi kabisa, toa milion mbili upate kazi
Hii haikubaliki, watanzania wamejazana online kuapply kumbe wengine wamepeleka application mkononi
Viongozi wanaohusika na hili je hawaoni rushwa hii ya waziwazi?
Je, hao viongozi nao niwanufaika au?
Tunafuatilia hiyo taarifa soon utapata majibu.
Tumo humu pia...meseji derivadiBaada ya kubaini u-nyang'au huu hatua ya Kwanza uliyochukua ni kuja kuandika uzi humu?[emoji848] Kwa nini taarifa hii usiipeleke kwa mamlaka zinazohusika na kudhibiti vitendo kama hivi?