Ajira mpya za walimu: Rushwa imetawala ili upate kazi

Inabidi kwenye kupanga vituo mfumo ndio uhusike kupangia watu vituo kuliko kupanga manually maana urasimu utazidi...
 
Ualimu umekua keki,si mlikua hamtaki hii kazi,mnahonga nn ss
 
Kusanya Kusanya ushahidi uupeleke TAKUKURU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…