Ajira mpya za walimu: Rushwa imetawala ili upate kazi

Acheni danganyana acheni tapeliwa omba ajira tulia kama zari lako unapenya
 
Nipatie nicheki dm naishi na namfahamu mtu ambaye Yuko wizra hyo tamisemi na pia Ni rfk sna na mke wa wazir jafo ambaye nae Ana ushwishi nimeona watu wengi wakifanikiwa kupitia mtu huu wengi wameingia ajirani
Mkuu nakufata inbox
 
Vijana acheni mambo ya kukatishana tamaa. Tumeni maombi, hakuna cha pdf iliyoandaliwa wala nini hayo ni maneno ya ulaghai.

Pia epuka vishoka na matapeli. Kama una sifa stahiki tuma maombi na Mungu atakusaidia.

Let's stay positive
👍👍
 

"Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea'​

 
Unalia nini sasa .....alaa
 
Naomba connection na Mimi niingie kwenyesystem ya ajira jamani
 
Zakuambiwa changanya na zako
 
Kuna jamaangu aliniomba laki saba ahonge apate ajira ,mwenzake alihonga akapata yeye akakosa sababu hela ilikosekana .ni zile za awamu ya pili

Kuhonga ukapata sio shidaa maana dunia ndo ilivyo toa kitu upate kitu .ilaaa wenye hawako na.pesa wanateseka sanaaaa
 
Duh wazee, mwenye connection anifanyie chaap,..soon nikiona jina langu kwa PDF lazima apate hiyo 2M...nimemaliza mwaka Jana nina physics na chemistry nadhani itakua rahisi aisee.,
 
Una uhakika gani na haya uyasemayo huoni kama hao ni matapeli tu
 
hahahaa upo sriaz au unatania tu 2M?
Duh wazee, mwenye connection anifanyie chaap,..soon nikiona jina langu kwa PDF lazima apate hiyo 2M...nimemaliza mwaka Jana nina physics na chemistry nadhani itakua rahisi aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…