Ajira mpya za walimu: Rushwa imetawala ili upate kazi

Hii rushwa ipo aisee
Kuna rafiki yangu mzee wake kauza shamba kabisa ili apate ya kuhonga
 
Acha ujinga wewe fanya Application tulia lasivyo UTATAPELIWA NA WASIO HUSIKA SHAME ON YOU
 
Kweli dunia tambala bovu..na Ni kichaka Cha maovu..
 
Tunafuatilia hiyo taarifa soon utapata majibu.
 
Baada ya kubaini u-nyang'au huu hatua ya Kwanza uliyochukua ni kuja kuandika uzi humu?[emoji848] Kwa nini taarifa hii usiipeleke kwa mamlaka zinazohusika na kudhibiti vitendo kama hivi?
Tumo humu pia...meseji derivadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…