Ajira mpya za walimu soon

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Ewe mwalimu tarajali jiandaee kukusanya vyeti vyako vyote, uwe na passport size za kutosha pesa ya kulala guest wakati unakamilisha maswala halimashauri,usisahau kubeba tochi kwani kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya habari mwaka huu ni chaka tu.

Soon tutaanza kuulizana umepangiwa wapi?
 
Bora, amani ya moyo inakaribia kurudi, (kama kweli)
 
kuna mama afisa elimu msingi kaniambia jana kuwa wameambiwa waanze kuandaa mazingira.walimu ajira mpya wanaripoti 1.5.2015. karibuni utumishi wa umma! sisi tumeshakuwa wazoefu!
 
kuna mama afisa elimu msingi kaniambia jana kuwa wameambiwa waanze kuandaa mazingira.walimu ajira mpya wanaripoti 1.5.2015. karibuni utumishi wa umma! sisi tumeshakuwa wazoefu!

Tarehe tu ya kuripot inaonyesha umeambiwa na Mama fulani.
 
Mh! Wewe mwalimu ni hatari thread unaanzisha wewe kuwapa watu taarifa alafu bado unauliza swali tena.

Exactly time ya kutoka sii jui sipendi kuongopa but najuaa mwezi huu. Ndomana nikauliza huyo alieepata taarifa kutoka kwa maafisa elimu
 
uyo mama kakudanga hiyo tarehe tutakua atuna nafasi ya kupokea walimu tutakua na sherehe za mei mosi.
 
So zinatoka lini?

Dah umenikumbusha story ya chizi alowadanganya watoto kuwa kuna mtaa flani wanagawana pipi. Watoto walivotoka spid naye akaunga kuwafuata ili naye akapate hizo pipi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…