Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

Status
Not open for further replies.
Nimefuatilia list ya walimu walio ajiriwa mwaka Jana kutoka chuo hicho SEKUCO (SEKOMU) nimeona majina ni yaleyale yamejirudia kwenye list ya walimu walio ajiriwa mwaka huu kwahiyo kuweni na subira kwa marekebisho!

Wee subir wenzio wameanza safari itakula kwako
 
Bora umemwambia! wabongo wagumu kuelewa sana yani jambo dogo wanaanza kulichambua...

mtu kapangiwa na kaambiwa tar ya kurpot bado anauliza maswal wakat tangazo linajieleza vzur tena lugha rahc,
 
utakuwa form four leaver wewe! Watu wanazungumzia mambo ya chuo masuala ya GPA wewe unazungumzia DV. Hovyo kabisa!

Nilisahau GPA. Overall GPA ya Mwl mzr ni atleast 3.5 though I would recommend 3.8 up 5.0 .
Ili tuwe Industrialized country full of Technology dvt tunahitaji majiniasi ktk sector ya Elimu make wao ndio kila kitu ktk nchi yoyote ile.
 
Ndugu enzymes, hivi kuanzia 3.5 unajua ni wahitimu wangapi wa ualimu wanapata kwa mwaka? wangekua wanachukua kuanzia au wakianza chukua GPA hiyo unafikiri ni shule ngapi zisingepata walimu kabisa?
 
Sio majinias tu ndg bali ni sera bora ya elimu inatakiwa. Hao majinias hata wajae vp kama sera ni mbovu, bado watazalishwa WABOVU tu. Hiv huoni?hao wanaopata ufaulu mzuri na wakasomea Udaktar, si ndo hao hao wanapasua watu vichwa badala ya MIGUU?! haya, wanaofaulu vizuri wakasomea Uhandisi, si ndo haohao Majengo yanaporomoka hovyo? Hao wenye ufaulu wa chini sawa, waende Veta kama ulivyodai lakini ujue chini ya sera mbovu ni haohao WATATUMWAGA sana barabarani kila siku (ajali). So bila sera nzuri tusitarajie UFANISI dat's all.
 
Kweli mkuu.

Sera ya sasa ni mbovu balaa na hasa hiyo mpya inayo tarajiwa kuanza kutumika ni full siasa ndani yake!!
 
Ndugu enzymes, hivi kuanzia 3.5 unajua ni wahitimu wangapi wa ualimu wanapata kwa mwaka? wangekua wanachukua kuanzia au wakianza chukua GPA hiyo unafikiri ni shule ngapi zisingepata walimu kabisa?

Mkuu mfumo ukiwa vizuri tu watapatikana. Naunagana na vpamba hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Tarehe ya kuripoti isogezwe bana

Yeah, sure inabidi waliangalie hilo kwa kweli maana mkanganyiko ni mkubwa. Baadhi wamepelekwa masomo yasiyo yao, walio_clear sapp hawakujumuishwa na wengine ndo hivyo tena... Wameajiriwa mara mbili (SEKOMU)! Yaan taabu tu!
 
Je kuongezeka kwa idadi kubwa ya wahitimu fani mbali mbali bila ajira nini hatima yake?
 
matokeo yake ni kutoajiriwa au kukosa ajira na Mimi natoa ushauri kwa wanafunzi kabla hujasomea fani yoyote jiulize hivi nataka kuwa nani nisomee nini na uwezo wangu ukoje kiakili na kifamilia usisome kwa kuiga na kutafuta status kwa kitu ambacho hqkina msingi.
 
Zamani ajira za ualimu zilikuwa bwerere tu but now days wahitimu wamekuwa wengi na mahitaji yanapungua(kwa mujibu wa takwimu wizarani) so obviously wanaosoma ualimu ndani ya miaka hii miwili ijayo watazunguka sana na bahasha km law na bba so ni vema tunaposoma tusisahau elimu ya ujasiriamali iweze kutujengea uwezo wa kuziona na kutumia fursa badala ya kutegemea serikali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom