Amesema nini?
Kasema hatarusu mwana ccm kusup na mwenye tatizo atoe taarifa kwako pia ajiri nzuri ni kwao tu na zaidi sana mwana CDM Hapat ajira.
Ngoja niwakusanye makada wenzangu, tukakombe vyeti vya kumwagaKasema hatarusu mwana ccm kusup na mwenye tatizo atoe taarifa kwako pia ajiri nzuri ni kwao tu na zaidi sana mwana CDM Hapat ajira.
Ntatuliaje wakat wahuni wanapurura nch kibabe alah!Hii ni nini sasa mkuu hujatulia.
Ngoja niwakusanye makada wenzangu, tukakombe vyeti vya kumwaga
Kasema hatarusu mwana ccm
kusup na mwenye tatizo atoe taarifa kwako pia ajiri nzuri ni kwao tu na
zaidi sana mwana CDM Hapat ajira.
Kasema hatarusu mwana ccm kusup na mwenye tatizo atoe taarifa kwako pia ajiri nzuri ni kwao tu na zaidi sana mwana CDM Hapat ajira.
Wanajf leo nimeshangazwa na kauli ya mwadhiri huyu pamoja na viongozi wa kitaifa na mkoa wa ccm ktk maafali ya wanaohitmu mwaka huu ktk ukumbi wao Lushoto. CKUFURAHIYA KAULI HIZI ZA WAZI ZA KUTAKA KUTUGAWA KWA MCNGI WA ITIKADI. Ee Mungu epusha haya kwa kuhukumu kwa haki.
Amesema nini?
Ni kweli hayo uliyo-report mtoa mada, moja kwa moja mimi simlaumu huyo Idahya! Angeweza kuwaambia chochote kibaya zaidi hata ya hicho! Karibu wote mliokusanywa ktk ukumbi huo mlifanana akili! Miaka hii tunategemea vijana wawe chachu ya elimu ya uraia na kuwakomboa wasiobahatika kupata elimu na habari, mjini na vijijini! Kitendo cha kukodiwa magari kutoka chuoni na kukusanywa ktk ukumbi wa ccm na kulambishwa UBWABWA na BIA za BURE! Mlistahili kuambiwa chochote na mkae kimya!