AJIRA NA KUTOKUSUP NI KWA MWANACCM TU : dr Idahya SEKUMU.

AJIRA NA KUTOKUSUP NI KWA MWANACCM TU : dr Idahya SEKUMU.

Jambohili

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
262
Reaction score
42
Wanajf leo nimeshangazwa na kauli ya mwadhiri huyu pamoja na viongozi wa kitaifa na mkoa wa ccm ktk maafali ya wanaohitmu mwaka huu ktk ukumbi wao Lushoto. CKUFURAHIYA KAULI HIZI ZA WAZI ZA KUTAKA KUTUGAWA KWA MCNGI WA ITIKADI. Ee Mungu epusha haya kwa kuhukumu kwa haki.
 
Kasema hatarusu mwana ccm kusup na mwenye tatizo atoe taarifa kwako pia ajiri nzuri ni kwao tu na zaidi sana mwana CDM Hapat ajira.

kama kasema hivyo kweli si mzima hata kidogo,niwakuwahishwa hospitali kwasababu siku si nyingi anaweza kuvua nguo hadharani.
 
Kasema hatarusu mwana ccm kusup na mwenye tatizo atoe taarifa kwako pia ajiri nzuri ni kwao tu na zaidi sana mwana CDM Hapat ajira.
Ngoja niwakusanye makada wenzangu, tukakombe vyeti vya kumwaga
 
Nyerere alishasema kuwa wananchi wanahitaji kiongozi bora na wasipompata ccm watamtafuta kwingine yaaani cdm
 
Kasema hatarusu mwana ccm
kusup na mwenye tatizo atoe taarifa kwako pia ajiri nzuri ni kwao tu na
zaidi sana mwana CDM Hapat ajira.

alivyosema hivo mkasemaje?kama mlimanyamazia tu na nyie pia itabidi mchunguzwe.!
 
Kasema hatarusu mwana ccm kusup na mwenye tatizo atoe taarifa kwako pia ajiri nzuri ni kwao tu na zaidi sana mwana CDM Hapat ajira.

Hii imekaa kama majungu, hebu weka video au audio yake hapa, maana tusije kuwa tunajadili tetesi!
 
Wanajf leo nimeshangazwa na kauli ya mwadhiri huyu pamoja na viongozi wa kitaifa na mkoa wa ccm ktk maafali ya wanaohitmu mwaka huu ktk ukumbi wao Lushoto. CKUFURAHIYA KAULI HIZI ZA WAZI ZA KUTAKA KUTUGAWA KWA MCNGI WA ITIKADI. Ee Mungu epusha haya kwa kuhukumu kwa haki.

hiyo idahya mwenyewe chizi nakumbuka tulimtoaga baruti class asitufundishe sababu ya uchizi wake. Kwahiyo usiwe unaleta thread za wehuwehu hapa angeongea mtu wa maana ingekuwa afadhali. Au nawewe kama yeye?
 
Waislam walipolalamika kuhujumiwa kwenye mitihani tuliwa rushia tope,sasa uwanja umetanuliwa!! Chadema nao ndani!! Sasa dada zakiyah huyu si ni mhadhiri? Wewe unamwita chizi? Unajua kazi ya wahadhiri MACHIZI vyuoni? Wanapelekwa na nani huko ilhali ni machizi? Hiyo ni kauli productive,na hali hiyo ipo mitaani looooong time,kulishapitishwa azimio kwenye mashirika ya umma kupeleka idadi ya wafanyakazi wanaosupport upinzani,ulijua lengo lao?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli hayo uliyo-report mtoa mada, moja kwa moja mimi simlaumu huyo Idahya! Angeweza kuwaambia chochote kibaya zaidi hata ya hicho! Karibu wote mliokusanywa ktk ukumbi huo mlifanana akili! Miaka hii tunategemea vijana wawe chachu ya elimu ya uraia na kuwakomboa wasiobahatika kupata elimu na habari, mjini na vijijini! Kitendo cha kukodiwa magari kutoka chuoni na kukusanywa ktk ukumbi wa ccm na kulambishwa UBWABWA na BIA za BURE! Mlistahili kuambiwa chochote na mkae kimya!
 
Amesema nini?

Amesema wanafunzi wote ambao ni wanachama wa ccm wasipate tabu! wakiona kuna ugumu wowote kimasomo, wamtafute yeye mwana-ccm mwenzao atawasaidia! na kuhusu supplimentary exams wanafunzi wa ccm wasahau! HATA MIMI NINGEKUWA MBALI NA TUKIO NINGEBISHA HABARI HII!
 
Mkuu Jambohili edit heading na andika SEKOMU, badala ya SEKUMU. Halafu punguza haraka unapo-report, usieleze kitu kama kila mtu alikuwepo ktk tukio. aksante.
 
Ni kweli hayo uliyo-report mtoa mada, moja kwa moja mimi simlaumu huyo Idahya! Angeweza kuwaambia chochote kibaya zaidi hata ya hicho! Karibu wote mliokusanywa ktk ukumbi huo mlifanana akili! Miaka hii tunategemea vijana wawe chachu ya elimu ya uraia na kuwakomboa wasiobahatika kupata elimu na habari, mjini na vijijini! Kitendo cha kukodiwa magari kutoka chuoni na kukusanywa ktk ukumbi wa ccm na kulambishwa UBWABWA na BIA za BURE! Mlistahili kuambiwa chochote na mkae kimya!

hilo la kweli na kuchezeshwa taarabu wakati nauli ya kwenda lushoto wamekopa. Nashangaa kuona wasomi wanatumiwa kama gunia la deki kueni na maamuzi yenu kichwani sio kisa wali na bia za bure.
 
Kwa watu wenye busara.......faida ya chama inapatikana pale wapigakura wengi wanapokichagua........kunaweza kuwa na wanachama wengi wa CCM wanaweza kuichagua CDM....vilevile inaweza kutokea kwa wanachama wa CDM wakaichagua CCM.......hivyo ishu ya uanachama bado si suala la ushindi kwa chama.......jambo la maana ni kuwa na wapigakura watakao kichagua chama.......KURA NI SIRI.......
 
huyu dr. amechemka, hivi kumbe anafundisha darasani nakupanga kabisa watu wa kusupp? zidhani kama anatumia udaktari wake vizuri. maana sio kama kuna fikra katika hoja yake
 
Back
Top Bottom