Ajira: Nafasi wazi za kazi Ikulu huwa zinatangazwa lini na wapi?

Kwa mimi ninavyofahamu... Mara nyingi uwa ni za kuchagua tu. Kuna mzee mmoja alikuwa anafanya kazi ya usafi ikulu Dar es salaam, baada ya kufariki Mke wake akaitwa na kuambiwa aendelee na kazi aliyokuwa anaifanya mumewe
 
Du
 
....hivi huyu aliletwa na nani?...."kauli hiyo ilisikika kwenye corridor za ikulu"...Enzi za.......
 
Nimepitia mitaani, vijana ni wengi sana hawana ajira.

Mmoja nimekutana naye ameniuliza Hilo swali hapo juu.

Mwenye majibu tafadhali
Angalia interview ya Salama na gerson msigwa utapata majibu yote ya jinsi ikulu wanavyoajiriwa it's not easy lazima team ya maskaunti ijiridhishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…