Ajira portal ina bagua baadhi ya profession

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Una kuta mtu ktk program aliyosemea ndani yake kuna courses za profession fulan lkn kama utumishi ktk education qualification wakisema wanataka B.A Y basi ni Y tu

Huu.mfumo ni wa kuutazama uendane na programs zinazo tolewa na vyuo sio kujichanganya tu.

Mfano : system akisema imwombaji awe ana shahada ya Health Services Administration basi mwenye shahada ya Health Management hapo system itamkatalia kuomba iyo position kabisaa wakat izo ni program moja kimaudhui isipokuwa jina tu ndio linawatogautisha . Huo ni mfano tu
 
Uko sahihi! fano mwingine wa ubaguzi ni huu: Ukiwa na Diploma na kazi iliyotangazwa ni certificate, mfumo unakukataa while as a matter of fact with diploma you can perform better the job compared to a certificate my point is, you have the required expertise/qualification to do the job, why a limit with certificate
 
Yaani hili ni jipu kabisa. Mfano mimi naweza ku-apply kazi TRA tuu huko ajira portal..
Zingine zote naambiwa NOT QUALIFIED kisa nimesoma Tax Management.
Saivi ajira portal ni kama pambo kwangu maana TRA wamejitoa huko.
 
Uko sahihi! fano mwingine wa ubaguzi ni huu: Ukiwa na Diploma na kazi iliyotangazwa ni certificate, mfumo unakukataa while as a matter of fact with diploma you can perform better the job compared to a certificate my point is, you have the required expertise/qualification to do the job, why a limit with certificate
Over qualified wamejiandaa kumlipa certificate na mahitaji ni certificate wewe subilia za dipmoma.
 
Uko sahihi! fano mwingine wa ubaguzi ni huu: Ukiwa na Diploma na kazi iliyotangazwa ni certificate, mfumo unakukataa while as a matter of fact with diploma you can perform better the job compared to a certificate my point is, you have the required expertise/qualification to do the job, why a limit with certificate
Hiyo mfumo unakataa na wapo sahihi na sababu ni kuwa muajirii anataka mtu wa certificate wewe unaajiriwa mwenye diploma kupitia Cheti Cha certificate,wanajua ukiishaajiriwa utapeleka cheti Cha diploma na utataka wakulipe kulingana na elimu yako ya diploma wakatii muajirii yeye amepigaa bajetii ya kumlipa mtu wa certificate
 
Yaan AJIRA portal ni wazembe sanaa sasa mfano tu waje watuambie hapa Tz ni chuo gan kina toa degree yaHealth Service Administration ?
Mkuu unachokifanya hapo unadangaya mfumo unatuma maombii na unaitwa vizurii tuu kwenye usailii,mfano Mimi nimesoma diploma ya civil engineering lkn ajira portal wanatangazaga nafasii wanataka mwenye diploma ya plumbing wakati Tanzania hakuna diploma ya plumbing maake plumbing ipo ndanii ya civil ko ninachokifanya nadangaya mfumo naedit kuwa Nina diploma ya plumbing mfumo unanikubalia natuma maombii na naitwa vizuriii tuu kwenye usailii
 
Uko sahihi! fano mwingine wa ubaguzi ni huu: Ukiwa na Diploma na kazi iliyotangazwa ni certificate, mfumo unakukataa while as a matter of fact with diploma you can perform better the job compared to a certificate my point is, you have the required expertise/qualification to do the job, why a limit with certificate
Overqualified Omba za Certificate itakua ngumu pia kupandishwa daraja.
 
Uko sahihi! fano mwingine wa ubaguzi ni huu: Ukiwa na Diploma na kazi iliyotangazwa ni certificate, mfumo unakukataa while as a matter of fact with diploma you can perform better the job compared to a certificate my point is, you have the required expertise/qualification to do the job, why a limit with certificate
Tanmbuna Kuna kitu kinaitwa overqualification na underqualifition
 
ni kwel bro hata mim kwang mfano tangazo la kazi kwenye kipengele cha elimu linataka mtu alosomea Business Administration tu bas mtu aliyesomea Business Administration with marketing or Business Administration with procurement, system inakataa mtu huyo kufanya maomb wakat ni mle mle tu
 
Una

Ukiona kozi yako ni mle mle na wanayoitaka Cha kufanya utakiwa udangaye mfumo mkuu ukukubalie uombee na kwenye interview unaitwa vizurii tuu,ko kama hivyo unatikiwa uedit kuwa umesomea Business administration mfumo utakukubalia na utaomba vizurii tuu na kwenye interview utaitwa bila tatizo Nina ushahidii na ninachokisema
 
Pm yangu haifungukii mkuu nimeshndwa kujibu mesejii yako
 
Mfano : system akisema imwombaji awe ana shahada ya Health Services Administration basi mwenye shahada ya Health Management hapo system itamkatalia kuomba iyo position kabisaa wakat izo ni program moja kimaudhui isipokuwa jina tu ndio linawatogautisha
Swali langu, n Kwann program iwe moja Ila majina yatofautiane.?
 
Una

Ukiona kozi yako ni mle mle na wanayoitaka Cha kufanya utakiwa udangaye mfumo mkuu ukukubalie uombee na kwenye interview unaitwa vizurii tuu,ko kama hivyo unatikiwa uedit kuwa umesomea Business administration mfumo utakukubalia na utaomba vizurii tuu na kwenye interview utaitwa bila tatizo Nina ushahidii na ninachokisema
Ah usidhubutu ndugu, ukifika kule ktk usaili wana kagua vyeti mzee wakiona tu ni nje ya kozi walizo tangaza wana kutenga mapema tu ilishawahi kunikuta iyo
 
Uko sahihi! fano mwingine wa ubaguzi ni huu: Ukiwa na Diploma na kazi iliyotangazwa ni certificate, mfumo unakukataa while as a matter of fact with diploma you can perform better the job compared to a certificate my point is, you have the required expertise/qualification to do the job, why a limit with certificate
Huna akili ww, hiyo ni roho ya kichawi kama unaona hvy bc rudi chuo usome certificate then diploma then degree.
 
Swali langu, n Kwann program iwe moja Ila majina yatofautiane.?
Sikuizi vyuoni nako ni ubunifu tu mkuu yaan ubunifu kuanzia ubunifu wa jina la program lkn contents zinashabiana tu

Mfano mtu x ana shahada ya sociology & social works then mtu Y ana shahada ya Sociology
 
Lkn vyuo vyote c vinasmamiwa na TCU sasa Kwann wanaruhusu hii kitu 🤦
 
Back
Top Bottom