Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipoweka verification ya NIDA number ndio biashara ya kuchezesha ilifika mwishoNajua sana!Underqualificaion might be a problem, but not overqualification
tatizo ni kuwa ukisha upload diploma, kuitoa inakataa, short of tht mtu ungeliweza kuitoa ukaweka certificte peke yake for that special application
Sasa tra sio ajira portal na ndio maana wamejitoakama ni ivyo bas wangeanza kunitoa tra kweny sajili zao
Kwanini wasiwazuie wale waliajiriwa kujiendeleza.Hiyo mfumo unakataa na wapo sahihi na sababu ni kuwa muajirii anataka mtu wa certificate wewe unaajiriwa mwenye diploma kupitia Cheti Cha certificate,wanajua ukiishaajiriwa utapeleka cheti Cha diploma na utataka wakulipe kulingana na elimu yako ya diploma wakatii muajirii yeye amepigaa bajetii ya kumlipa mtu wa certificate
Mkuu mbona ukiwapigia simu wanakufutiaa hiyo level kama ni ya degree na unaombaa hiyo kazii ya diploma,Hawa jamaa hamna kitu kabxa. Cha kwanza nahisi Hawa connection na taasisi zingine kama vile TCU na NACTVET. Haiwezekani Kuna kozi zinafundishwa na zinamesajiliwa ila kwenye menu yao hamna. Kwa mfano Kuna vyuo vitao higher Diploma ila wao wanasema haitambui wao wanang'ang'ania kwenye advanced diploma ambayo imefutwa kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita. Cha pili kuhusu mtu aliyesoma certicate -diploma -degree kama akiweka taarifa za degree hataweza kuomba tena nafasi za chini. Hii ni roho mbaya na uupuzi wa hali ya juu. Mwanzoni walikuwa wanaruhusu watu kuedit wakaja waka disable... Wanasema eti..! overqualification...! Mbona Kuna walimu wa masters na wanalipwa mishahara ya watu wa degree. Watumishi wanaweza kukijindeleza lakini mishahara hubaki pale pale labda aomba abadilishiwe Category au asubiri mpaka madaraja yapande Hadi kwenye level yake ya elimu. Kwanini wasifanye hivyo hivyo na kwenye wenye certificate na diploma waruhusiwe kuomba hata kama Wana degree zao ambayo walizipata baada ya kupitia certificate-diploma. Kuna Watu wana degree wamekaa mtaani kwa zaidi miaka 10 wamechoka, wamechakaa ile mbaya. kozi walizosoma sio marketable. Wengine wameamua kurudi chuo kwenda kusoma certificate na diploma kwa kozi zinazolipa. Wanakuja wapuuzi waliopata kazi hata bila interview wanaweka vigezo vigumu hiyo ni roho mbaya na uchawi wa hali ya juu.
Naomba nosaidoe namba zao mkuuMkuu mbona ukiwapigia simu wanakufutiaa hiyo level kama ni ya degree na unaombaa hiyo kazii ya diploma,
Nenda kwenye ajira portal utaonaa namba zao jaribu kupigaa zile namba zote wanapokeaga halafu uwaambiee wakufutiee degree uliwekaa bahatii mbaya wanakufutia Muda huo huoNaomba nosaidoe namba zao mkuu
BRD ya SUA si tayar imeshatambuliwa au?Ya SUA
Hawa jamaa hamna kitu kabxa. Cha kwanza nahisi Hawa connection na taasisi zingine kama vile TCU na NACTVET. Haiwezekani Kuna kozi zinafundishwa na zinamesajiliwa ila kwenye menu yao hamna. Kwa mfano Kuna vyuo vitao higher Diploma ila wao wanasema haitambui wao wanang'ang'ania kwenye advanced diploma ambayo imefutwa kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita. Cha pili kuhusu mtu aliyesoma certicate -diploma -degree kama akiweka taarifa za degree hataweza kuomba tena nafasi za chini. Hii ni roho mbaya na uupuzi wa hali ya juu. Mwanzoni walikuwa wanaruhusu watu kuedit wakaja waka disable... Wanasema eti..! overqualification...! Mbona Kuna walimu wa masters na wanalipwa mishahara ya watu wa degree. Watumishi wanaweza kukijindeleza lakini mishahara hubaki pale pale labda aomba abadilishiwe Category au asubiri mpaka madaraja yapande Hadi kwenye level yake ya elimu. Kwanini wasifanye hivyo hivyo na kwenye wenye certificate na diploma waruhusiwe kuomba hata kama Wana degree zao ambayo walizipata baada ya kupitia certificate-diploma. Kuna Watu wana degree wamekaa mtaani kwa zaidi miaka 10 wamechoka, wamechakaa ile mbaya. kozi walizosoma sio marketable. Wengine wameamua kurudi chuo kwenda kusoma certificate na diploma kwa kozi zinazolipa. Wanakuja wapuuzi waliopata kazi hata bila interview wanaweka vigezo vigumu hiyo ni roho mbaya na uchawi wa hali ya juu.
Huoni kwamba hiyo haileti fair competition platform?Uko sahihi! fano mwingine wa ubaguzi ni huu: Ukiwa na Diploma na kazi iliyotangazwa ni certificate, mfumo unakukataa while as a matter of fact with diploma you can perform better the job compared to a certificate my point is, you have the required expertise/qualification to do the job, why a limit with certificate
Hili la level ya elimu naona ni kwa ajili ya kupanga mishahara sawa na ngazi inayohitajikaUko sahihi! fano mwingine wa ubaguzi ni huu: Ukiwa na Diploma na kazi iliyotangazwa ni certificate, mfumo unakukataa while as a matter of fact with diploma you can perform better the job compared to a certificate my point is, you have the required expertise/qualification to do the job, why a limit with certificate