Brightly
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 391
- 623
Basi itakuwa inategemeana ndugu,Mimi nilishagajaribu mara kibao na ninaitwa kila mara na interview nafanya maake kozi unakuta zinaendanaAh usidhubutu ndugu, ukifika kule ktk usaili wana kagua vyeti mzee wakiona tu ni nje ya kozi walizo tangaza wana kutenga mapema tu ilishawahi kunikuta iyo