Ajira portal ina bagua baadhi ya profession

Ah usidhubutu ndugu, ukifika kule ktk usaili wana kagua vyeti mzee wakiona tu ni nje ya kozi walizo tangaza wana kutenga mapema tu ilishawahi kunikuta iyo
Basi itakuwa inategemeana ndugu,Mimi nilishagajaribu mara kibao na ninaitwa kila mara na interview nafanya maake kozi unakuta zinaendana
 
haikubali kuedit hasa kweny kipengele cha qualification za elimu nshajaribu sana
 
Ah usidhubutu ndugu, ukifika kule ktk usaili wana kagua vyeti mzee wakiona tu ni nje ya kozi walizo tangaza wana kutenga mapema tu ilishawahi kunikuta iyo
kama ni ivyo bas wangeanza kunitoa tra kweny sajili zao
 
haikubali kuedit hasa kweny kipengele cha qualification za elimu nshajaribu sana
inakubalii vizurii tuu mkuu,kitu ambacho haikubalii ni kuedit kiwango Cha elimu labda unadegree halafu unataka uedit kuwa una diploma hapo inakataa lkn kama una degree unataka ubadilii course unaedit vzr tuu bila shida
 
Hili hata mimi kuna washikaji zangu walilifanya na waliitwa katika usaili.
 
inakubalii vizurii tuu mkuu,kitu ambacho haikubalii ni kuedit kiwango Cha elimu labda unadegree halafu unataka uedit kuwa una diploma hapo inakataa lkn kama una degree unataka ubadilii course unaedit vzr tuu bila shida
pale kweny program category haikubali pana ile option ulochangua tu zengine hazikubali
 
Yaani hili ni jipu kabisa. Mfano mimi naweza ku-apply kazi TRA tuu huko ajira portal..
Zingine zote naambiwa NOT QUALIFIED kisa nimesoma Tax Management.
Saivi ajira portal ni kama pambo kwangu maana TRA wamejitoa huko.
Bado kote ni changamoto maana hata waliosoma Finance and Banking usaili wa majuzi walifanya usaili kwa mbinde so usiikandia Psrs ukawapaisha Tra kufanya usaili kivyao.
 
Hyo ilikuwa portal ya zamani sasa hv hta cheti ukishaweka hukitoi hila zamani ulikuwa zikitoka za certificate unakitoa cha diploma hila sasa hv hakuna editing
 
Kuna kitu kinaitwa over qualified .. lazima ukukatae mfumo .. mishahara ya serikali ni kwa ngazi ni makosa wakakuajiri alafu wakakulipa mshahara wa certificate.. trick ni kwamba kama una certificate upload achana na ya diploma..
 
si wanapitia vyeti.mwisho wa siku unakutana na not qualified
 
Bado kote ni changamoto maana hata waliosoma Finance and Banking usaili wa majuzi walifanya usaili kwa mbinde so usiikandia Psrs ukawapaisha Tra kufanya usaili kivyao.
Ukisoma vizuri comment yangu utaona sijawakandia PSRS kwa kuwapaisha TRA.
I simply meant PSRS is of no help to me since i can't apply anything there. I never compared the two as you put it.
 
Tanmbuna Kuna kitu kinaitwa overqualification na underqualifition
Najua sana!Underqualificaion might be a problem, but not overqualification
Kuna kitu kinaitwa over qualified .. lazima ukukatae mfumo .. mishahara ya serikali ni kwa ngazi ni makosa wakakuajiri alafu wakakulipa mshahara wa certificate.. trick ni kwamba kama una certificate upload achana na ya diploma..
tatizo ni kuwa ukisha upload diploma, kuitoa inakataa, short of tht mtu ungeliweza kuitoa ukaweka certificte peke yake for that special application
 
Ukisoma vizuri comment yangu utaona sijawakandia PSRS kwa kuwapaisha TRA.
I simply meant PSRS is of no help to me since i can't apply anything there. I never compared the two as you put it.
Haya bhana Mimi mwenzio na hichi kizungu ni mbingu na ardhi. Kila baada ya neno lazima ninywe maji.
 
Najua sana!Underqualificaion might be a problem, but not overqualification

tatizo ni kuwa ukisha upload diploma, kuitoa inakataa, short of tht mtu ungeliweza kuitoa ukaweka certificte peke yake for that special application
Assume wewe Ni form 6 tunakukuta unafanya mtihani wa form one, si uonevu huo?

Hivyo HIVYO kumchukua form 1 afabye paper ya form 6 Ni manyanyaso.
Hayo
Think big
 
kwahio unafuta degree ya civil unaandika una diploma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…