Ajira Portal inagoma kuomba nafasi ya kazi

Ajira Portal inagoma kuomba nafasi ya kazi

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu nataka kuomba kazi ya drive Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Ila nashangaa mfumo unagoma.
Naomba tips namna ya kujaza kwenye kipengele cha "program name" na "Program category"

Bila shaka hivi vipengele ndivyo vinavyonikwamisha.

Aliyefanikiwa kuomba hii post naomba anichungulie hizo sehemu kajazaje.
 
Kwanza lazima uwe na vyeti hivi
. Basic certificate of driving
. Form four certificate
. Certificate professional driving toka nit au Veta
. Birth certificate
. Namba ya Nida
. Referees
. Driving license
Kumbuka certificate zote pamoja na leseni lazima ziwe zimethibotishwa na mwanasheria au mahakama . Lakini pia lazima ujue wapi unatakiwa kuzi attach yaani academic na professional pia angalia profile completeness angalau uzidi 70+ percentage na hakika itakupali lakini pia usisahau kuattach barua ya maombi ya kazi iwe katika mfumo ya pdf
 
Back
Top Bottom