Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Sikuhiz huwez futa qulification yoyote uliyoweka labda kuedit tu vjet na sio qulificationsMda mwingine ukiedit Huwa haitaki kukaa current, So option nzuri ni kufuta(Delete) then unaweka upya nishawahi kufanya hivi na ikakubali.