Marcel 12
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 483
- 696
Ngoja waje wajuvi mkuu
Sawa mkuu ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje wajuvi mkuu
Mda mwingine ukiedit Huwa haitaki kukaa current, So option nzuri ni kufuta(Delete) then unaweka upya.. nishawahi kufanya hivi na ikakubali..
Mda mwingine ukiedit Huwa haitaki kukaa current, So option nzuri ni kufuta(Delete) then unaweka upya.. nishawahi kufanya hivi na ikakubali..
😁😁😁 Jaribu mkuu uone show yake..Je kama nikiacha vyeti hivyo original vya 1 na hizo certified documents pia watanila kichwa?[emoji23]
Kwani hiyo Edit imewekwa kwa ajili ganiShida inakuja apo hamna option ya delete yani kuna edit tu View attachment 2183926
[emoji16][emoji16][emoji16] Jaribu mkuu uone show yake..
Kwani hiyo Edit imewekwa kwa ajili gani
Waandikie Email wafute halafu uingize tena
Haziwezi kugoma kuna sehemu hujajaza pitia vipengele vyote vizuriHizi asilimia Mbona kwangu zimegoma kwenye 60% tuu
Labda kazi unayoomba haiendani na qualifications zako so ukiomba inaandika DECLINED..kuna namba zao pale unaweza kuwapigia kama una changamoto yoyote ile100%
Wapigie watakuelewesha, shida ni kwamba watu mnapiga mara moja wasipopokea mnalalamka hawapokei simu..ila huwa wanapokea..Mimi qualifications ilijirudia mara mbili mfano bachelor ijirudie mara mbili na huwez delete nikawapigia wakasema haina shida na still niliomba kazi ikakubali.Dah mbna mimi nshatuma sasa[emoji23]
Nyie ndo mkikosa ajira mnakuja kuilaumu serikali, vyet OG vitakaaje sehemu moja na hizo copies.? Kama una uhakika uli-edit kwa kuweka vyet vilivyothibitishwa bc tulia, kwenye system yao wataona hizo certified copies Ila ww utaona zile OG kwa muda fulani then zitatoka zenyewe (ilishawahi kunitokea hvy nina uhakika)Je kama nikiacha vyeti hivyo original vya 1 na hizo certified documents pia watanila kichwa?[emoji23]
Kwani hiyo Edit imewekwa kwa ajili gani
Shida inakuja apo hamna option ya delete yani kuna edit tu View attachment 2183926
Delete na edit zipo kwa kazi mbili tofauti kabisa, hapo huwezi kufuta chochote bali ataweza kutoa chet na kuweka kingine tuu ndo hy edit ila zile information zingine hawezi kubadili.Mda mwingine ukiedit Huwa haitaki kukaa current, So option nzuri ni kufuta(Delete) then unaweka upya nishawahi kufanya hivi na ikakubali.
Acha uoga scroll hiyo screen ya simu yako kwenda kulia utaona delete, screen ya simu ni ndogo ku display Kila kituShida inakuja apo hamna option ya delete yani kuna edit tu View attachment 2183926
Hv mkuu, ushawahi kutuma Email na ikajibiwa pale Utumishi..?Watumie email ikiwa na screenshot ya hicho unachotaka kufutwa wao watakufanyia. katibu@ajira.go.tz