Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Mda mwingine ukiedit Huwa haitaki kukaa current, So option nzuri ni kufuta(Delete) then unaweka upya nishawahi kufanya hivi na ikakubali.
 
Mda mwingine ukiedit Huwa haitaki kukaa current, So option nzuri ni kufuta(Delete) then unaweka upya.. nishawahi kufanya hivi na ikakubali..

Shida inakuja apo hamna option ya delete yani kuna edit tu
IMG_6515.jpg
 
Mda mwingine ukiedit Huwa haitaki kukaa current, So option nzuri ni kufuta(Delete) then unaweka upya.. nishawahi kufanya hivi na ikakubali..

Je kama nikiacha vyeti hivyo original vya 1 na hizo certified documents pia watanila kichwa?[emoji23]
 
Mm nili update , siku hiyo ya Kwanza ziligoma kubadilika , nikakata Tamaaa kabisa na Ajira portal , ila baada ya Kama week Nika Kuta zimebadilika ze nyewe,

Mm nimesoma computer science ,Ila kinacho fanyika Ajira portal kinanishanga Sana Yan 🤣☘️
 
Je kama nikiacha vyeti hivyo original vya 1 na hizo certified documents pia watanila kichwa?[emoji23]
Nyie ndo mkikosa ajira mnakuja kuilaumu serikali, vyet OG vitakaaje sehemu moja na hizo copies.? Kama una uhakika uli-edit kwa kuweka vyet vilivyothibitishwa bc tulia, kwenye system yao wataona hizo certified copies Ila ww utaona zile OG kwa muda fulani then zitatoka zenyewe (ilishawahi kunitokea hvy nina uhakika)
 
Kwani hiyo Edit imewekwa kwa ajili gani
Shida inakuja apo hamna option ya delete yani kuna edit tu View attachment 2183926
Mda mwingine ukiedit Huwa haitaki kukaa current, So option nzuri ni kufuta(Delete) then unaweka upya nishawahi kufanya hivi na ikakubali.
Delete na edit zipo kwa kazi mbili tofauti kabisa, hapo huwezi kufuta chochote bali ataweza kutoa chet na kuweka kingine tuu ndo hy edit ila zile information zingine hawezi kubadili.
 
Ajira portal account yangu inatatizo la kutosave personal details zangu kwa muda sasa na nimeipambania bila mafanikio, kwa kifupi kwenye account ya ajira portal kuna sehemu ya kujaza personal details ambapo kabla ya chochote lazima uweke namba ya NIDA , shida inakuja nikiiweka namba ya NIDA na kujibu maswali kadhaa ya uthibitisho kuwa ni namba yangu, nayapatia kabisa ila Ajiraportal wanaweka alama za kosa ,

Sasa nashindwa kuelewa system yao ina shida au kitambulisho changu kilichakachuliwa maana NIDA vitambulisho vyao vingi ni tatizo

Kila nikiwapigia simu ni kila siku ni inatumika na ikifika mida ya saa 7 mchana ni haipatikani, sasa najiuliza ivi ingekuwa kampuni binafsi wanaweza fanya ivyo? Au kwakua ni gvt
 
Back
Top Bottom