Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Hata ukienda Dodoma kwenye ofisi zao hawawezi kufuta, watakuambia subiri ajira itoke kulingana na hy degree uliyoweka, kwahy hapo n sawa na haujaweka diploma.
 
Uko sahihi,nilikua na shida nyingine nimewaona jamaa wananiambia subiri ajira zitoke kulingana na nilichoomba
 
Hata ukienda Dodoma kwenye ofisi zao hawawezi kufuta, watakuambia subiri ajira itoke kulingana na hy degree uliyoweka, kwahy hapo n sawa na haujaweka diploma.
YANI HAIWEZEKANI, 100%....AU INATEGEMEA NA REASON UTAKAZOTOA ? CZ MM NINA REASON NA NATAKA NIKAAPE MAHAKAMANI SITAKI KUTUMIA TENA CHETI CHANGU CHA BACHELOR DEGREE...NA HUKO MBELE NITASOMA BACHELOR YA KITU KINGINE
 
Kwa uzoefu wangu najua haiwezekani kwa sababu yoyote ile, ila siwezi kukukatisha tamaa ni bora ujaribu kufanya jambo ndipo ushindwe kulitimiza.
Nakuombea Mungu ufanikiwe kutimiza unachotaka.
 
YANI HAIWEZEKANI, 100%....AU INATEGEMEA NA REASON UTAKAZOTOA ? CZ MM NINA REASON NA NATAKA NIKAAPE MAHAKAMANI SITAKI KUTUMIA TENA CHETI CHANGU CHA BACHELOR DEGREE...NA HUKO MBELE NITASOMA BACHELOR YA KITU KINGINE
Una sababu ya msingi ya kwann hutaki kutumia hicho cheti.?
 
NAOMBA KUJUA, AMBAYE ALIWAHI SAIDIWA KUBADIRISHA ACADEMIC QUALIFICATIONS ZAKE, EITHER KWA KUPIGA SIMU AU KUFIKA OFFCN KWAO.

NAHITAJI NITOE, QUALIFICATIONS YA DEGREE, IBAKIE YA DIPLOMA

NA JE ,ALIPEWA MAJIBU GANI .ASANTENI[emoji120]
Hapo shida nn jombi, una edit tu kwwnye akaunti kwa kufuta then unasave
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…