Muache akapoteze muda huko mana anaelimishwa lkn anajifanya haelewi.ni mfumo gani utakumonita ww kuhakikisha hukitumii hicho cheti kuombea kazi baada ya kuapa mahakamani?
Ukitaka kufuta inakuambiaje?mimi nimekosea nikaweka same degree mara mbili, kuifuta moja ibaki moja sasa ndo kimbembe.
Hy wanafuta ukiwachekmimi nimekosea nikaweka same degree mara mbili, kuifuta moja ibaki moja sasa ndo kimbembe.
AiseeeUkienda kwenye academic qualifications unaweza kufuta.
Naona kuna mtu kasema haiwezekani.
Lakini mimi nimewahi kufuta degree niliyosoma nikaiandika nyingine na nikaitwa interview kwa hiyo degree nyingine.
Na nimerudisha degree niliyosomea na nimeomba tena kazi nyingine.
Sasa kama nimeweza kufanya hivyo ni vipi wewe ushindwe kuondoa hiyo qualification ya degree?
Na umesoma IT?
Ajira zote za serikali isipokuwa chache za mikataba lazima uombe kupitia AjiraportalJe nikwel ajira portal Ina msaada mkubwa katika kupata ajira, swali TU.
ah ngoja nitawachek wafuteHy wanafuta ukiwachek
hakuna option ya kufutaUkitaka kufuta inakuambiaje?
lamda kipindi cha nyuma mkuu saiv haikubaliUkienda kwenye academic qualifications unaweza kufuta.
Naona kuna mtu kasema haiwezekani.
Lakini mimi nimewahi kufuta degree niliyosoma nikaiandika nyingine na nikaitwa interview kwa hiyo degree nyingine.
Na nimerudisha degree niliyosomea na nimeomba tena kazi nyingine.
Sasa kama nimeweza kufanya hivyo ni vipi wewe ushindwe kuondoa hiyo qualification ya degree?
Na umesoma IT?
tulia tu itabadilika yenyewe mimi nilipaparika kama wewe nikajikuta nimeadd degree mbili [emoji16],kuangalia baada ya siku mbili nikakuta imejiupdate yenyewe , ko nimebaki na degree mbili zinazofanana
Huto weza kwaakuwa unatumia nida hivyo bas nida namba ukisha sajiri kwa account moja I Takwambia tayari Usha kuwa na accountFungua account nyingine badili email tu, alaf jaza upyaa
HEBU JARIBU KUWA, MUELEWA MIMI SITAKI KABISA, NA KAMA KUNA NJIA YA KUFUNGA NI SI UPDATE CHOCHOTE NIPO KWA RADHI YANGU, NA AKILI TIMAMU
...WAFUNGE NISI ADD CHOCHOTE BAADA YA KUTOA... PIA NIJICOMMIT KUTOTUMIA CHETI CHA DEGREE UNLESS NIKASOME TENA, THREE YEARS
ni kutulia tu zikitoka post unachekWewe ndo kama mimi[emoji23]sasa sijui watanielewaje
simshangai sana maana kuwa jobless kunaleta frustration [emoji16]Mkuu kwan lazima uombe kazi utumishi tu, vyeti vyako vitakusaidia sehemu nyengine
Hizi options za kuedit hauzipati mkuu?lamda kipindi cha nyuma mkuu saiv haikubali
inawezekana vizuri tuYANI HAIWEZEKANI, 100%....AU INATEGEMEA NA REASON UTAKAZOTOA ? CZ MM NINA REASON NA NATAKA NIKAAPE MAHAKAMANI SITAKI KUTUMIA TENA CHETI CHANGU CHA BACHELOR DEGREE...NA HUKO MBELE NITASOMA BACHELOR YA KITU KINGINE
Kuna mtu nimemsaidia kufanya hilo jambo, huenda ni suala la network, but once u edited inakuwa imekubali kwenye database yao.. Ondoa hofu mkuu.Hamna kitu mkuu